BABA Dillish
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 2,605
- 3,558
Ushahidi utoke wapi? Kimfumo hawa CWT wapo chini ya serikali. So mambo yao mengi yanafichwafichwa tu.Kuomba ushahidi ni kuwatetea?, basi hakimu hana haja ya kuomba ushahidi Kwa public juu ya mtuhumiwa wa murder case maana ataonekana anamtetea defendant
Umejuaje wapo chini ya serikali ilihali katiba Yao inasema CWT ni Chama huru kisichoingiliwa na upande wowote wa serikaliUshahidi utoke wapi? Kimfumo hawa CWT wapo chini ya serikali. So mambo yao mengi yanafichwafichwa tu.
Ubadhilifu upi? Utaje Kwa ushahidiHawa viongozi inabidi wachungunzwe na TAKUKURU Kuna ubadhirifu mkubwa Sana wa pesa mule yaan chama Cha walimu wamekifanya chao
Ndoalisema hivyoKakataa u district commissioner ili aendelee kuwapiga walimu yeye na karibu wake Japheth
Tambua hiloUmejuaje wapo chini ya serikali ilihali katiba Yao inasema CWT ni Chama huru kisichoingiliwa na upande wowote wa serikali
Leteni hoja mzito tuzijadili, hivi vitaarifa vya kulenga kupotosha watu, havitawaongezea kira ndugu zangu, sisi watanzania tunajielewa na tumeelewa agenda zenu, ni watu munaongea bila fact. Ni nadharia tu.#HABARI Msajili wa vyama vya wafanyakazi na waajiri amebatilisha uamuzi wa wajumbe 18 wa kamati ya utendaji wa taifa wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) wa kushinikiza kumsimamisha Katibu wao mkuu Japhet Maganga kuendesha shughuli za taasisi hiyo.
Kufuatia uamuzi huo Rais wa CWT Leah Ulaya amelaani kitendo kilichofanywa na wajumbe hao kwa kukiuka katiba na misingi ya chama na kusema watachukuliwa hatua za kinidhamu.
βKikao kilichofanyika hakikuwa halali na kilifanya maamuzi batili ambayo hayakuzingatia katiba na kanuni za CWTβ. Amesema Ulaya.
#EastAfricaTVView attachment 2653494
Kaka Hawa watu hata Mimi nishawachoka, taarifa na mijadala Yao ni kama tetesi za usajili na pindi ligi zinapofika mwisho, au magazeti ya udaku.I can't disapprove what you say but I need material fact, ukisema flani kauwa Kwa panga tunataka ulete panga likiwa na damu ya mtu, au video au picha yake akiwa anauwa. Huwez kusema mpwayungu village ni mwembamba ilihali hatujawahi kumwona kwahiyo tunatarajia ulete picha yake.
Narudia tena. Lete ushahidi wa vidhibitisho sio maneno matupu, nipe ushahidi wa gazeti, electronic evidence au case yoyote Ile iliyowahi kuwakuta nawakahukumiwa
Ipo hivyo, MIMI huwa nipo neutral mpaka ni prove uhalisia wa jambo lolote linalosemwa, huwa najizuia kuattack jambo kama Sina ushahidi unaogusikaKaka Hawa watu hata Mimi nishawachoka, taarifa na mijadala Yao ni kama tetesi za usajili na pindi ligi zinapofika mwisho, au magazeti ya udaku.
NdoivoLeteni hoja mzito tuzijadili, hivi vitaarifa vya kulenga kupotosha watu, havitawaongezea kira ndugu zangu, sisi watanzania tunajielewa na tumeelewa agenda zenu, ni watu munaongea bila fact. Ni nadharia tu.
Hao viongozi wote wanapigania hela za walimu tu. Na ndiyo maana walimu wenye akili timamu wanahama huko CWT, na kujiunga na chama kipya.Kivipi nakati juzi mlisema aliyefukuzwa ni mipango ya serikali aligomea teuzi ya Rais, kaja huyu kamkingia kifua pia mnasema serikali inawatetea sasa mpo upande upi?
Shida ya wabongo ndohiyo kama ya kwako huwa wanalalamika bila fact, ebu toa material fact ili watu wakuelewe, weka na vifungu vya kisheria ikiwemo kesi zilizowahi kuendeshwa mahakamani ili uwe na uzito wa hoja yako kuwa cwt ni ccm siyo unaongea tu kufata mkumbo ili upedwe na kundi la watu wanyonge
Ebu tuambie ubaya wa CWT Kwa vidhibitisho, iwe video, gazeti, decided case au ACT yoyote Ile ambayo wameivunja hapo mimi nitakuelewa maana usiwe kama Halima mdee wa Jana akawa anahaha tu kulaani mkataba akiulizwa ubaya upo Wapi anasema anaona mbali
Mimi sikupingi hoja yako ila sitakuwa tayari kukubali bila udhibitisho wa kisheria, una uhakika hicho Chama kipya sio tawi la ccm? Hicho Chama kipya hakifuji pesa za walimu? Hicho Chama kipya kimewatetea nini walimu wao? Ukijibu hizi hoja nitakualika wavuvi camp Leo tule lamb chops na kunywa Heineken zisizo na KikomoHao viongozi wote wanapigania makato ya 2% kutoka walimu tu. Na ndiyo maana walimu wenye akili timamu wanahama huko CWT, na kujiunga na chama kipya.
Hivyo sina sababu ya kumtetea yeyote hapo, pamoja na chama chao cha ccm.
Acha kuwatetea hao CWT. Ushahidi wa nini ? Kimsingi hicho chama hakiwajali wanachama wake.
Anamtetea Msukuma mwenzake.........aliyewekwa na Marehemu Mwendazake!Kuomba ushahidi ni kuwatetea?, basi hakimu hana haja ya kuomba ushahidi Kwa public juu ya mtuhumiwa wa murder case maana ataonekana anamtetea defendant
ππππππππI can't disapprove what you say but I need material fact, ukisema flani kauwa Kwa panga tunataka ulete panga likiwa na damu ya mtu, au video au picha yake akiwa anauwa. Huwez kusema mpwayungu village ni mwembamba ilihali hatujawahi kumwona kwahiyo tunatarajia ulete picha yake.
Narudia tena. Lete ushahidi wa vidhibitisho sio maneno matupu, nipe ushahidi wa gazeti, electronic evidence au case yoyote Ile iliyowahi kuwakuta nawakahukumiwa
Dah! Ngoja wenye vyama vyao waje wanisaidie aisee.Mimi sikupingi hoja yako ila sitakuwa tayari kukubali bila udhibitisho wa kisheria, una uhakika hicho Chama kipya sio tawi la ccm? Hicho Chama kipya hakifuji pesa za walimu? Hicho Chama kipya kimewatetea nini walimu wao? Ukijibu hizi hoja nitakualika wavuvi camp Leo tule lamb chops na kunywa Heineken zisizo na Kikomo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Dah! Ngoja wenye vyama vyao waje wanisaidie aisee.
Unakumbuka CWT ya enzi ya kina Gratian Mukoba?.I can't disapprove what you say but I need material fact, ukisema flani kauwa Kwa panga tunataka ulete panga likiwa na damu ya mtu, au video au picha yake akiwa anauwa. Huwez kusema mpwayungu village ni mwembamba ilihali hatujawahi kumwona kwahiyo tunatarajia ulete picha yake.
Narudia tena. Lete ushahidi wa vidhibitisho sio maneno matupu, nipe ushahidi wa gazeti, electronic evidence au case yoyote Ile iliyowahi kuwakuta nawakahukumiwa