Wajulikana kama mhandisi, mtangazaji, daktari, mwalimu, mhasibu, mkunga n.k. umefanya nini mtaani?

Kama naiona hio ATM ilivyojaa kama simu ya huyu mtu
18645630_1337640072995773_5143575069011738624_n(1).jpg

Ntalipa mimi.....
Nina fweza, unahofu ya nini...
 
Maana halisi ya mtu msomi...!? mimi huwa nashindwa kuelewa hii dhana ya mtu msomi hasa katika hii miji mikubwa...je ni wale kutembea na bahasha mkononi kutwa nzima kutafuta kazi, au kushinda kwenye mitandao (Internet Cafe) kutuma cv katika makampuni na taasisi za kiserikali au binafsi upate kazi! Leo hii jambo dogo kama kuzibua vyoo, kuchimba mitaro au kufanya jambo lolote kwa faida ya jamii iliyokuzunguka, halifanywi na hao wanaojiita wasomi..I'm just feeling very extremely angry especially katika hii dhana ya USOMI! Mwenye kujua maana halisi ya mtu msomi anisaidie tafadhali!
 
Mimi ni Mhasibu! Nimefungua biashara (ndogo), nimeajiri vijana kadhaa, ninalipa kodi, ninasaidia wenye shida panapo uwezo, ninasaidia familia, ndugu na jamaa na marafiki. Pia ninawashauri na kuwafundisha vijana wenzangu kuhusu masuala mbalimbali ya kifedha na ujasiriamali kwa ujumla!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom