Wajue Wanawake

Msukuma wa dar

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2016
Posts
1,160
Reaction score
1,201
Salamu wakuu

Kwa kipindi kirefu nimekuwa na tabia ya kuwadate wanawake wa Rika tofauti tofauti na hatimae Leo nimekuja na findings kuhusu wao hapa JF

Moja, Miaka14 hadi 19 na 20
Wengi wa Rika hili Ni wanafunzi (Wakusoma) yani O'Level, A level na First year.
Jinsi ya kuwapata hawa ni kujijali Tu,yani we kuwa mtanashati Tu,Wako radhi hata wakugombanie.
Hapa hakunaga cha mizinga ya Saloun wala kuombwa hela.Yani utainjoi maisha kama uko peponi vile.
Kero Yao kuu ni AHADI hewa,kanakupromise halafu hakaji,utaskia mama aliniambia nioshe vyombo.

Mbili, Mika21 hadi 26 na 27
Hapa sasa ndo shida inapoanziaga.Ndo sababu kuu ya Stress kwa vijana.
Yani hapa sijui uwe mtanashati,maridadi,maridhawa,mrefu kama minala ya Halotel nk kwa hapa utasugua gaga kama huna sabuni ya roho,pesa ya madafu,vijisenti,chapaa,pesaa.
Kwa Rika hili vimisemo kama Babe nashida,Babe nanjaa,Babe niazime elfu30(Ila inatabia ya kupanda) Babe naomba hela ya kusuka,Babe nitumie pesa ya nauli nk ndo mahala pake.
Hapa utapigwa mizinga paka uone dunia haizunguki.Mbona kila siku mie Tu.

Ushauri
Kama mambo hayajakaa poa,usimtongoze Dada wa Rika hili,kwa maana hawajui kukataa,ILA balaa lake, hata Shi shi babe akasome


Tatu, Miaka 28 hadi 34 na 35
Wengi Ni single mother na hitaji Lao kuu Ni NDOA.Yani hawa ndo wale walotukataa kwa kejeli na maneno ya shombo eti wanaume VUMBI kisa mambo yalikuwa hayajakaa mahali pake.

Hapa atakunyenyekea eti umuoe.Hawajaligi zile sifa za urefu sijui uwe na hela sijui dini.Yani hapa unaweza kujikuta ushamuoa single mother hata kama hukuwa na mpango huo.WAMEVURUGWA

Rika hili pia linaongoza kwa kuongeza WEHU mitaani,we muahidi kumuoa halafu umpotezee gafla,utajuta kumfahamu.HAWANAGA ROHO YA KIBINADAMU

Nne, Miaka 36 hadi 59
(Kwa ambao hawajaolewa)
Wengi wa Rika hili hujikita zaidi katika utafutaji ili kidogo watakachopata wagawane na vijana wadogo.Ukiwaangalia unaweza ogopa hata kuwaface,kumbe uchwara Tu.
Hawapendi hela yako,ahadi hewa na zaidi hupendelea kuludishwa ujanani kipindi cha mgegedo.Yani wanataka mgegedo uliotukuka.(Utumwa wa Ngono)
Kwa majina rahisi huitwa SUGAR MUMIE nao vijana huitwa SERENGETI BOI


Tano, Miaka60 na kuendeleaa
Hapa ndo mwisho WA mbwembwe japo siku hizi wanavimisemo vyao eti NG'OMBE HAZEEKI MAINI


STUNTER mawazo yko pleasee
 
Never underestimate the power of PAPUCHI.... Wanaume tuna kazi sana
 
Nilikua na wa miaka 20,mtoto ana mizinga cjapata kuona tangu nianze kupekua 'pochi manyoya'
 
hiyo ni introduction tu sentence ya kwanza kuhusu sisi bado hujaanza kutuelewa bado sana
 
halafu hao single mama wanaupendo kwa watoto wao balaaaa sijajua kwa nini kila wakati anamweka facebook
 
Reactions: irk
wenda yakweli haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…