Wajue wanawake wa maeneo ya Arusha, Moshi na Manyara

huyu mtu sijui ametokea dunia ipi? Bado ana mawazo ya kizamani,....mhaya.....mpare....mnyamwezi....mnyakyusa....BURE!
 
kuna uwezekanano huo utafiti wako ukawa na ukweli ndani yake, lakini nashindwa kushawishika kuyakubali matokeo yako moja kwa moja maana hujaonesha aina ya utafiti wako, sample ya utafiti wak, maswali ya msingi uliyo uliza na numba, au asilimia ya watu waliojibu ndiyo au hapana ua sijui.any way ujumbe wako mzuri maana unatufumbua macho ili kuweza kufanya utafiti za
 
Of course I have ever slept with more than 20 from that area, n tht's why when i got this issue from my friends i decided to dig more.

Sasa umesema hawajui kuintertain wanaume kitandani kilichokuwa kina kumotivate hadi umewatia wanawake 20 kutoka huko ni nini?
 
4. hawajui kumridhisha mwanaume kitandani (so boring in that field)
Tatizo nahisi liko kwako hamna kitu kinaitwa kumridhisha mwanamme, mwanamke ata-respond baada ya kuamsha hisia zake.Haiwezekani wote 20 wakawa sawa
6. wanaume wao wengi wananyumba ndogo hasa ma barmaids .
7. Sasa dar ina namba kubwa ya barmaids toka maeneo hayo.
Umesema wanachukua mabamedi/hookers kutoka kaskazini sasa kama mke ni wa kaskazini huoni wamependa mapigo ya huko?
Je utafiti wangu ni sahihi.
TATIZO NI WEWE TAFAKARI CHUKUA HATUA! hamna mwanamke mbaya kitandani ukijuwa kuamsha hisia zake.
Nawe unatokea wapi?
 
Aaah,sina hoja juu ya utafiti wako mkuu,na wala siwezi jua utafiti wako ulikuwa unalenga nini hasa!!
 
Sasa umesema hawajui kuintertain wanaume kitandani kilichokuwa kina kumotivate hadi umewatia wanawake 20 kutoka huko ni nini?

Hapo sasa huwezi kutopendezwa mara 10 na bado unarudi huko huko,umekosana na huyo #20 ukaamua kutukana wote.
 
Nikisoma katikati ya mistari na unavyoonyesha kufahamu wanapotoka mabamedi na hookers wengi nahisi 'utafiti' wako uliwahusu hao mabamedi na hookers ambao wako kibiashara zaidi na lengo lao "ucheue" tu hayo maji yanayokusumbua sio kuwawekea usiku eti uridhike.
 
Normally women sexual proud is inversely proportional to men at the childish stage...! At this stage, a woman becomes feeling guilt and guilt as she have sex with a man and then get divorced. This feeling continuous as the number of men passing on her increases until she become so experienced and then she don't care any more the increase of this number.....!

But, for men (like you), they normally proud themselves as they meet with a woman and then having the number of women he had sex with increasing. When the childish behavior become over, he starts to realize that what he was doing is meaningless and nonsense at all, and sometimes end up blaming himself for what he was doing...!

So, according to your information, you are still very young...! You might not even qualified to join this forum in this section...!

Mkuu you are a bit philosophical, lakin unachosema ni kweli kabisa. To simplify the matter, it is common to see many guys in Tanzania having their sexual organs work harder than their brains. And you may even wonder that they use their brains, wisdom and even fortunes to serve their sexual desires. Am not sure whether this is common in particular geographical locations, or to particular tribes or to particular men.

Kuna watu ambao huwa wanajisifu kwa kutembea na wanawake wengi, tena huwa hata wanajitangaza hadharani. To them uanaume ni kufanya hivyo, the more you do that the more man you are. Siwezi kusema bado hawajakua, wengine ni watu wazima kabisa na wana ofisi za juu kabisa, lakini matendo yao ni ya kushangaza sana. They are physically adults who never became mentally adults, bado ni adolescents kialiki na miili yao ndio inawaponza. This has partly to do with culture (socialization and upbringing), religion and ones personality. So let us not say ni watu wa kaskazini tu.

Kuna watu mpaka leo hawana sense ya family, responsibility and care. They are slaves of their sexual desires. They keep on siring and siring without any sense of responsibility. That is why in some parts of the country we have a lot of bastards (illegitimate children), and even worse the number is growing.
 
usafiri, usafuri agrrrrrrrrrrr! wameshindwa kutembea?
 
inasikitisha sana kuskia mwanaume anasema dem frani hajui mapenzi, hiyo ni ishara tosha kwamba na yeye hajui kama anajua mapenzi au la.... Siri ya mapenzi ni good communication
 
Unataka ugomvi na wachaga wewe...Si unaona unavyojiwa juu!:becky::becky::becky:
Jamaaangu Asprin upooo?...mambo vipiii?:becky::becky::becky:
 
Normally women sexual proud is inversely proportional to men at the childish stage...! At this stage, a woman becomes feeling guilt and guilt as she have sex with a man and then get divorced. This feeling continuous as the number of men passing on her increases until she become so experienced and then she don't care any more the increase of this number.....!

But, for men (like you), they normally proud themselves as they meet with a woman and then having the number of women he had sex with increasing. When the childish behavior become over, he starts to realize that what he was doing is meaningless and nonsense at all, and sometimes end up blaming himself for what he was doing...!

So, according to your information, you are still very young...! You might not even qualified to join this forum in this section...!
YES YES YES I join you hands the sred bringer is hoves and he is not qualify yes yes you are light mr konakali and all ze inglish of you is very very mach good. thenk yu sir konakali.
 
Mkuu you are a bit philosophical, lakin unachosema ni kweli kabisa. To simplify the matter, it is common to see many guys in Tanzania having their sexual organs work harder than their brains. And you may even wonder that they use their brains, wisdom and even fortunes to serve their sexual desires. Am not sure whether this is common in particular geographical locations, or to particular tribes or to particular men.

Kuna watu ambao huwa wanajisifu kwa kutembea na wanawake wengi, tena huwa hata wanajitangaza hadharani. To them uanaume ni kufanya hivyo, the more you do that the more man you are. Siwezi kusema bado hawajakua, wengine ni watu wazima kabisa na wana ofisi za juu kabisa, lakini matendo yao ni ya kushangaza sana. They are physically adults who never became mentally adults, bado ni adolescents kialiki na miili yao ndio inawaponza. This has partly to do with culture (socialization and upbringing), religion and ones personality. So let us not say ni watu wa kaskazini tu.

Kuna watu mpaka leo hawana sense ya family, responsibility and care. They are slaves of their sexual desires. They keep on siring and siring without any sense of responsibility. That is why in some parts of the country we have a lot of bastards (illegitimate children), and even worse the number is growing.
Jiwe naye Ni mmojawapo,lakini mwanaume wa kiafrika huwezi kuwa na mwanamke mmoja
 
Back
Top Bottom