Wajue wanaume walaghai na vijitabia vyao

Wajue wanaume walaghai na vijitabia vyao

huwa najiuliza kwanini wanakubali kudanganywa huku wakijua kabisa tungo tunazowapa ni za uongo??
 
Kwi kwi kwiiiiiiiiii

Hao ni wanaume laghai wa humu nini?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Haswa, na mwanaume anae taka kukulaghai kipesa uongea hivi

Juu yako
Hips zako nzuri
Macho ya nyege
Duh mapaja yako laini, mwenzio nimefika kwako.

Juu ya watu wengine
Wanawake niliotembea nao walikuwa wagumu, ngozi ngumu
ilikuwa mikulumbembe ilio komaa
wengine kama tela la fuso
wengine walichokonolewa chokonolewa na minjemba
Wengine walikuwa wanajipitisha pitisha nami nika kamata
Wanawake wanaona wivu mimi kuwa nawe
Mimi nataka mwanamke na yule bwana, ebu fikiria

Juu yake
Anajifanya, alisoma na wazungu,
Ama alisoma na watoto wa mawaziri
Kaenda shule za kifahari
Baba yake ama kaka yake alikuwa na uwezo sana
Alikuwa kimapenzi na dada mmoja mwenye miela,
Hivo akimnunulia kila kitu
Nipe basi laki nitakurudishia
Nataka kuwa mbunge
Mwaka jana nilikuwa england, dah kuzuri uko
 
Utasikia nilisomaga bulgaria university hahaha ,utasikia nilitembea na koku yule mwanamke alikuwa mtamu na alinipa mihela ila mi nilikuwa wala simpendi,
 
mzee gumi la tumbo hilo duuuh..umewapasua
 
Not into gender wars, but there is one already. Let's face it.

Ulaghai wa wanawake wengi wanaolia kulaghaiwa ni kulaghai wanalaghaiwa.
 
1. Hujifanya yupo tayari kukfanyia lolote hata liwe nje ya uwezo. Hapo b4 hujampa mwili wako.
2. Mwanzoni mkiwa mnawasiliana anajidai hapend ngono na hana haraka nayo.

3. Bingwa wa kukutambulisha kwa rafiki zake. Hao ameshawambia mapema kuhusu wewe hvyo watamfichia siri.

4. Bingwa wa kuzisifia sehemu zako nyeti mfano. Una kifua kizuri, upo sexy baby.

5. Mkizoeana kdogo anaanza mtindo wa 'phone sex' . Hii huwa inawapagawisha kweli wasichana.

6. Asubuh na mapema ana2ma vocha. Ukishamvulia chu* sahau kuhusu hzo ofa.

7. Anajidai mkweli anakwambia kila ki2 hata kama hujamuuliza.

8. Hawakawii kujitangaza eti wametakwa kimapenzi na msichana flani. 'ah! Bby kile kisichana kinanitaka mi ctaki'

9. Kila unalosema anafanya. Ukitaka aje anakuja, ukitaka vocha unapata. Unaweza kudhani ----- kumbe anakulia time uingie mtegoni afyatue.

10. Wana ahadi tamu zisizotekelezeka. Hawachelewi kujidai wapo tayari kufa kwa ajili yako.

11. Ni mahiri katka kuwasema wenzao kuwa wana tabia mbaya. Wao wanajidai wasafi.

12. Mara nying wanafunga cm zao kwa pasword. Hufungui kizembezembe!
mbona hujaweka za wasichana???
 
Mbona tunavurugana tena itabidi ututajie za wale wasio walaghai maana mi nimechanganyikiwa na hayo matendo uliyoyataja.
 
Hata Njogoo akitaka kula vyake huanzia mbaaaali...Its all about nature whether you like or not. Guys let's do it.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
mh, mbona kama umenizungumzia mimi vileeee dah!
Hizo ndo mbinu za medani kwa wale champion lovers, ukishafunua unakitoa!
 
likewise kwa mwanamke laghai naye anapend kupata vitu vizuri teteeeeeh ngoma droo
 
kwa hiyo wasiokuwa laghai wanafanya kinyume na hayo.. sioni uhalisia wa haya ninachofahamu mwanaume akikupenda kweli lazima akujali hata baada ya kuwa nawe kimwili na kwa mwanamke mwenye ufahamu ni rahisi kumtambua kama anakupenda kweli ama la hayo yanawezwa kufanywa na wale wasio walaghai pia teteeeehh hata mm nafanya baadhi ya hayo kwa g.f kwa 3yrs nw and soon she ll b my wife.
 
Duh yani umeenda nje kabisaa u know what anachofanya mwanaume ni kucheza na psyc yako mnapenda kusifiwa, vitu vizuri n.k kwa hyo anacheza na hayo then unaingia kingi whether he realy loves you or not.
 
wadada bila kuwadanganya humpati kamwe.....ukiwaambia ukweli watakuzingua sana....
 
.....Mnalopaswa kujifunza (wanawake) ni jinsi gani utaweza kumgundua anayejali matakwa yako tofauti na anavyojali matakwa yake, ili mkidhi matakwa yenu!

Back
Top Bottom