andate
JF-Expert Member
- Jun 9, 2011
- 2,651
- 1,028
huwa najiuliza kwanini wanakubali kudanganywa huku wakijua kabisa tungo tunazowapa ni za uongo??
wanakuwa wanakutaka, kwa hiyo wakikubishia hawatakupata, ndio maana mimi na wewe tunaweza tukatumia uongo mmoja kwa demu mmoja, mimi nikatolewa mbio na wewe ukapata.