Wajue Wagombea 9 watakaoshiriki Uchaguzi wa Spika wa Bunge la Tanzania

Kabla Mungu hajawalaani atakulaani wewe mtwana wa mafashisti usiye na haya
Sina tabia za kizushi, chuki, husda, fitna, uchokonozi wala shari; kwa sababu hiyo, siwezi kulaaniwa kwa matakwa ya mashetani. Punguani we!
 
Sina tabia za kizushi, chuki, husda, fitna, uchokonozi wala shari; kwa sababu hiyo, siwezi kulaaniwa kwa matakwa ya mashetani. Punguani we!
Kabla sijawa punguani weye ulikuwa punguani mzoefu, so umenizidi sana upunguani kibaraka wa matembele
 
Ile system ya NEC ya kuweka majina ya wagombea urais uchaguzi wa 2020 Kati ya ccm na CHADEMA hawakuitumia mwaka huu?
 
Kuna Mmoja hadi hivi sasa narudia rudia Kuangalia alivyokuwa akijinadi mbele ya Wabunge na huyu nikiambiwa kuwa ama havuti Bangi au hanywi Gongo nitakuwa wa Kwanza Kutokukubali.

Bunge liwe linawapima Kwanza Akili!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…