Wajue Mawaziri 4 viporo

Wajue Mawaziri 4 viporo

The Phylosopher

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
2,203
Reaction score
3,321
Naomba tupendekeze majina manne kwa ajili ya nafasi za Mawaziri ambazo Mheshimiwa Rais bado anatafuta watu huenda yeye ana wasaidizi wake wakapita hapa na kuvutiwa na maoni ya great thinkers mi naanza kama ifuatavyo;

1) Fedha na Mipango John Pombe Magufuli

2) Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Serukamba/Lugola

3) Elimu Nagu

4 Maliasili na Utalii Membe
 
naomba tupendekeze majina manne kwaajili ya nafasi za mawaziri ambazo mheshmiwa rais yungali anatafuta watu huenda yeye ama wasaidizi wake wakapita hapa na kuvutiwa na maoni ya great thinkers mi naanza kama ifuatavyo 1 fedha na mipango mhe jpm 2 ujenzi mawasiliano uchukuz serukamba/lugola 3 elimu nagu 4 maliasili utalii membe

Umeandika kama umeishia darasa la pili January halafu unajiita great thinker..
 
Mali asili apewe Ateuliwe Kaghasheki apewe akawashughulikie TANAPA walioanza kuua mkuu Wa Idara ya Ulinzi na Usalama TANAPA kwani Idara hiyo inamfaa na amewahi kupanusa
 
JPM Elekeza jicho lako TANAPA kuna nini wanaanza kumuua aliewaona wakitorosha TWIGA WETU na watawarejesha tu dhamana yao wakikamatwa 10 billion
 
Yule alitekuwa mbunge wa sia 2010 paka 2015 agrey mi namtabiria ujenzi uchukuzi na mawasiliano. Ni utabiri tu wandugu
 
Naomba tupendekeze majina manne kwa ajili ya nafasi za Mawaziri ambazo Mheshimiwa Rais bado anatafuta watu huenda yeye ana wasaidizi wake wakapita hapa na kuvutiwa na maoni ya great thinkers mi naanza kama ifuatavyo;

1) Fedha na Mipango John Pombe Magufuli

2) Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Serukamba/Lugola

3) Elimu Nagu

4 Maliasili na Utalii Membe
hapo kuna Lugola tu wengine mizigo
 
Kichwa cha habari?!:- Wajue Mawaziri 4 Viporo?!! Nilijua tayari MwanaHalisi kashafanya yak au Mawio watu wa propa
 
Mary Nagu,Membe ni Mizigo,kama haitoshi ni vichefu chefu.

Hawa wamekuharibia thrid yako.
 
Hamna kitu katika hao wote. Membe na Nagu muda wao Umepata. Serukamba asubiri serikali ya Lowassa kama itakuja kutokea.
 
Naomba tupendekeze majina manne kwa ajili ya nafasi za Mawaziri ambazo Mheshimiwa Rais bado anatafuta watu huenda yeye ana wasaidizi wake wakapita hapa na kuvutiwa na maoni ya great thinkers mi naanza kama ifuatavyo;

1) Fedha na Mipango John Pombe Magufuli

2) Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Serukamba/Lugola

3) Elimu Nagu

4 Maliasili na Utalii Membe
hapo kwenye namba tatu, huyo mama hana matunda, naomba rais usimteue huyo mtu hata siku moja. siku zote akiwa waziri nilikuwa nalalamika kuona nini anachaguliwa nacho na sikupata jibu.
 
Naomba tupendekeze majina manne kwa ajili ya nafasi za Mawaziri ambazo Mheshimiwa Rais bado anatafuta watu huenda yeye ana wasaidizi wake wakapita hapa na kuvutiwa na maoni ya great thinkers mi naanza kama ifuatavyo;

1) Fedha na Mipango John Pombe Magufuli

2) Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Serukamba/Lugola

3) Elimu Nagu

4 Maliasili na Utalii Membe

We jamaa inaonekana wew ni great thinker wa magazeti ya udaku maana heading yako ni tofauti na kile kilicho ndani ya habari yako.😎
 
Kichwa cha habari?!:- Wajue Mawaziri 4 Viporo?!! Nilijua tayari MwanaHalisi kashafanya yak au Mawio watu wa propa

ukakimbia kama umekatwa kichwa! kweli Rais anayo kazi ngumu kukufuta ujinga.
 
Naomba tupendekeze majina manne kwa ajili ya nafasi za Mawaziri ambazo Mheshimiwa Rais bado anatafuta watu huenda yeye ana wasaidizi wake wakapita hapa na kuvutiwa na maoni ya great thinkers mi naanza kama ifuatavyo;

1) Fedha na Mipango John Pombe Magufuli

2) Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Serukamba/Lugola

3) Elimu Nagu

4 Maliasili na Utalii Membe

Namba 1 sawa
 
huyo lugola akiteuliwa nyie ndo mtakua wa kwanza kulia kuwa jpm anapendelea kwa kuteua watu kutoka kwao kanda ya ziwa.
kwenye mambo ya uwazili tunaangalia uwezo, natamani mawaziri wote watoke dodoma teh teh teh.
 
Back
Top Bottom