Kwa nini huyu anaitwa dikteta.....8. Enver Hoxha(Albania)
amejijengea mwenyewe zaidi ya mapiramidi 750,000 ya Zege kisa kujilinda na maadui. wakati ambao inchi ina idadi ya wakazi milioni tatu tu.(jamaa analinda hadi nyau
.....

Nashindwa kabisa kuoanisha muda wako wa kuwepo JF na komenti unazozitoahapo kwa Gadafi umekurupuka.
Ni bora ukachukue kopo ukachambe...
Acha kuongea mambo usiyoyajua!!wabongo mna matatizo makubwa sana ya kumsifia mtu ambaye sio kiongozi wenu kwa kujua mazuri yake...Hivi hata kama marekani ni tajiri ni haki ya watoto wa raisi kwenda Paris kila wiki kucheza kamari kwa kutumia pesa ya serikali?halafu Libya mwenyezi Mungu hakusema itawaliwe na ukoo wa Gaddafi kwani alikua kaanza kumlisisha mtoto wake...Leo hii Kikwete akisema anamuachia Ridhiwani madaraka hapa mtaanza kupiga fujo.
Kwa nini huyu anaitwa dikteta.....
katika madikteta woote hao 11 uliowataja, natamani dikteta namba 11 angelizaliwa tanzania. Hakika huyu ni nabii zaidi ya dikteta. Alipigania watu wake na nchi yake kwa vitendo. Na nyie mlio na fikra za kitumwa na mlioleweshwa mvinyo wa ubeberu wa magharibi ndio mnaweza kuuona udikteta wa nabii huyu. Ni kiongozi kiongozi pekee katika afrika na nachelea kusema ulimwenguni aliyetumia rasilimali za nchi yake kwa faida ya watu wake. Wakati wa utawala wake aliwafanyia wananchi wake yafuatayo:
1. Alitoa elimu bora bure kwa wananchi wote.
2. Makazi ilikuwa ni haki ya kila raia wa libya, alidiriki kusema hatamjengea baba yake nyumba mpaka walibya wote wapate makazi. Baba yake mzazi alikufa akiwa anaishi na ***** kwenye hema.
3. Kila wanandoa wapya walipotaka kuoana, walipewa us$ 50,000 za kujengea makazi mapya.
4. Mikopo ilitorewa bila riba, na bank zote zilimilikiwa na serikali.
5. Kila raia aliyetaka kununua gari mpya, 50% ya bei ililipwa na serikali.
6. Huduma za afya, umeme na maji zilikuwa ni bure kwa kila raia.
7. Kijana aliyemaliza digrii ambaye alikuwa hajapata ajira alilipwa mshahara sawasawa na ofisa wa ngazi yake aliyepo kazini.
8. Bei ya lita moja ya petrol ilikuwa ni dola 0.4, na kwa pesa hiyo hiyo ilinuna mikate 40.
9. Pato la raia kwa mwaka ilikuwa na wastani wa dola 11,000.00
10. Raia yoyote aliyetaka kulima alipewa ardhi bure, pembejeo na mifugo bure kwa ajili ya kuanzishia mradi wa kilimo.
11. Mpaka anatolewa madarakani kwa nguvu libya haikuwa na deni lolote nje ya nchi.
12. Aliacha hazina kwenye mabenki ya nje inayofikia dola 150 bilioni.
13. Mpaka anaondolewa madarakani libya haikuwa masikini, na wananchi wake walikuwa wanaishi maisha ya juu kuliko wajapani.
Je, dhambi yake kwa watu wake ni kutawala miaka 42? Yupi dikteta kwa watu wake kati yake na hawa wetu tunaowachagua kila baada ya miaka mitano na kuishia kuona rasilimali zetu zikijenga ulaya huku watu wetu wakishindia kisamvu kwa muhogo? Demokrasia maana yake ni umasikini?
Hakika gadaffi ni mfano wa viongozi waliozipenda nchi zao na watu wao. Fikra zake zitadumu milele.
Natoa changamoto kwa waujuao udikteta wa gadafi waeleze ubaya wake kwa watu wake ni upi?
Kwanini hii mijitu inarogeka sana na dhahabu?
1. Bokassa: alinakshi chumba (na maliwato yake?) kwa dhahabu
2. Sadam (na wanae) walimiliki bunduki za dhahabu
3. Gadafi alikua na bastola na sofa la dhahabu
Mijitu nyang'au sana hii.
Huyu alie2letea heading ya "wajue madikteta 11" he/she is ileterate, layman, foolishness hajui anachokiongea kumueka Gadafi kumefanya 2muelewe ni pumbavv flani instead of kuandika utumbo wako humu 2mia muda huo ht kw kusafisha maeneo unayoishi, huku 2achie 2lio kwenda shule pumbavvvv!

Hata yule unamuamini na kumuamudu alidhalilishwa MSABANI na Mayhudi na kuburuzwa na Msalaba wake. Wewe mgalatia usie na akili naini kakuroga?ghadafi aliuwa wapinzani wake wote.
alifadhili ugaidi duniani.
alifadhili vita alivyoamini kuwa anaepingana na huyo aliyemsapoti ni dini tofauti.
alichikiwa na watu wake(ndio maana walimwua au kushangilia kifo chake)
ALIMKUFURU MUNGU KUJIITA MFALME WA WAFALME.
ALIWAFANYA WATU WA NCHI YAKE KUWA WATUMWA(ALIWAJENGEA NYUMBA SARESARE)
ALIAMINI MAENDELEO YA MALI NI BORA KULIKO MAENDELEO YA WATU NA DEMOKRASIA.
ALIZOEA KUHONGA KWA PIPI BAADA YA KUFANYA UNYAMA(TANZANIA NA WAASI ALIOWAAHIDI DHAHABU NA MABILIONI YA DOLA BAADA YA KUKAMATWA)
ALIPINGANA NA MWENYEZI MUNGU KWA KUTAMKA WANAWAKE NI MAKINI KULIKO WANAUME(FUATILIA QURAN UONE INASEMAJE KUHUSU WANAWAKE)
ALITAKA KUITAWALA AFRIKA KIMABAVU(ALIPOMALIZA MUDA WAKE AU)
ALIZILAZIMISHA NCHI ZA KIARABU ZIMCHAGUE KUWA KIONGOZI WA UMOJA WAO ZIKAMSHTUKIA.
ALIVAA MAVAZI YA KIKE WAKATI VITABU VITAKATIFU VILIKATAZA.
ALIWALEA WANAE KIDIKTETA MPAKA ILIFIKIA KULETA MITAFARUKU DUNIANI.
ALIAMINI MAFUTA NI BORA KULIKO UTU(ALITAKA KUBADILISHANA MATEKA NA SERIKALI YA TANZANIA)
ALIWAFANANISHA WANACHI WAKE NA MENDE NA PANYA(KITABU KINASEMAJE?)
ALIUA RAIA WASIO NA HATIA LOKERBY.
KAMA ANGEKUWA MZURI KWA WATU WA ASINGEDHALILISHWA NAMNA HIYO BILA HATA DUNIA KUPIGA KELELE NA SEHEMU KUBWA YA WALIBYA KUSHANGILIA KWA FATAKI NA MAGARI BARABARANI.
SWALI TANZANIANI KIPI TUNACHOMPENDEA GHADAFI? NA KUANZIA LINI?
12. Julius Kambarage Nyerere, aliyekaa madarakani muda mrefu akidhani hii ni nchi ya wazanaki pekee. Aliua wote wanaompinga na wale wanaopingana na ukatoliki. Aliiacha chi kwenye umasikini kipindi hicho cha 1980,s kwa kisingizio cha kung'atuka.1. Jean belel Bokassa: (Central Africa
Alijipachikia mwenyewe Ufalme.
aliumia kiasi cha robo tatu ya bajeti ya mwaka Kuutukuza Ukoloni mamboleo
2. Ferdinand Marcos: (Philipines)
alipotimuliwa madarakani mwaka 1986, alikimbilia Hawaii na kiasi cha vipande 24 vya dhahabu,vilivyokadiriwa kuwa na thamani ya dola Billioni 35..(Du)
3. Papa Doc Duvalier: (Haiti)
mwaka 1963 aliamini vyama vya upinzani vimeshageuke kuwa kama mbwa weusi hivyo jamaa akaamuru Kuuliwa kwa mbwa wote weusi nchini Haiti!
4. Iddi amini Dada (Uganda)
Mwaka !977 alijipa mwenyewe Cheo Mweshimiwa mkuu sana , Rais wa Maisha, Field Marshall Al Hadj Doctor Idi Amini Dada. VC, DSO, MC, CBE, Congueror of the British Empire) Chunga sana watu wanaopenda kujitunukia Vyeo.. kila kukicha Dr..DR...
5. Gnassingbe Eyadema: (Togo)
Amejizungushia mwenyewe wanawake vimwana 1000 wanaolipwa kwa kumliwaza.
6.We Win.(Burma)
Jamaa alibadilisha fedha kutoka tarakimu za 10,20,30 hadi 15,35,45,75.. yaani kutoka namba shufwa na kuweka witiri zanye 5 at end, kwa sababu aliamini ndizo namba zenye bahati. Baada ya miaka miwili akabadili tena.
7. Kim Jong Il(North Korea)
Mzee wa mikogo, miaka na miaka anavaa jaketi moja tu lile lile kila siku.
anamiliki zaidi ya video 20,000
8. Enver Hoxha(Albania)
amejijengea mwenyewe zaidi ya mapiramidi 750,000 ya Zege kisa kujilinda na maadui. wakati ambao inchi ina idadi ya wakazi milioni tatu tu.(jamaa analinda hadi nyau
9. Mobutu sese seko. (Zaire)
Alikataa mwanasiasa yeyote mwingine asitamkwe wala kuonekana kwenye TV
Alitumia Madege makubwa ya Concorde kama usafiri wa kwenda shopping tu.
10: Saparmura Niyazov.(Turkmenistan)
Alibadilisha majina ya miezi na kuita majina ya familia yake.
alipiga marufuku meno ya dhahabu
Piga marufuku lip stick
akajijengea kasri la barafu karibu na Ikulu ingawaje Turkumenistan ni jangwa.
11: Muamar Gaddafi: (Libya)
alijichagulia mabodyguard vimwana na bikira.
Haamini mtu yeyote hata damu yake
kama una orodha zaidi tumiminie..
Katika madikteta woote hao 11 uliowataja, natamani dikteta namba 11 angelizaliwa Tanzania. Hakika huyu ni nabii zaidi ya dikteta. Alipigania watu wake na nchi yake kwa vitendo. Na nyie mlio na fikra za kitumwa na mlioleweshwa mvinyo wa ubeberu wa magharibi ndio mnaweza kuuona udikteta wa nabii huyu. Ni kiongozi kiongozi pekee katika Afrika na nachelea kusema ulimwenguni aliyetumia rasilimali za nchi yake kwa faida ya watu wake. Wakati wa utawala wake aliwafanyia wananchi wake yafuatayo:
1. Alitoa elimu bora bure kwa wananchi wote.
2. Makazi ilikuwa ni haki ya kila raia wa Libya, alidiriki kusema hatamjengea baba yake nyumba mpaka walibya wote wapate makazi. Baba yake mzazi alikufa akiwa anaishi na ***** kwenye hema.
3. Kila wanandoa wapya walipotaka kuoana, walipewa us$ 50,000 za kujengea makazi mapya.
4. Mikopo ilitorewa bila riba, na bank zote zilimilikiwa na serikali.
5. Kila raia aliyetaka kununua gari mpya, 50% ya bei ililipwa na serikali.
6. Huduma za afya, umeme na maji zilikuwa ni bure kwa kila raia.
7. Kijana aliyemaliza digrii ambaye alikuwa hajapata ajira alilipwa mshahara sawasawa na ofisa wa ngazi yake aliyepo kazini.
8. Bei ya lita moja ya petrol ilikuwa ni dola 0.4, na kwa pesa hiyo hiyo ilinuna mikate 40.
9. Pato la raia kwa mwaka ilikuwa na wastani wa dola 11,000.00
10. Raia yoyote aliyetaka kulima alipewa ardhi bure, pembejeo na mifugo bure kwa ajili ya kuanzishia mradi wa kilimo.
11. Mpaka anatolewa madarakani kwa nguvu Libya haikuwa na deni lolote nje ya nchi.
12. Aliacha hazina kwenye mabenki ya nje inayofikia dola 150 bilioni.
13. Mpaka anaondolewa madarakani Libya haikuwa masikini, na wananchi wake walikuwa wanaishi maisha ya juu kuliko wajapani.
Je, dhambi yake kwa watu wake ni kutawala miaka 42? Yupi dikteta kwa watu wake kati yake na hawa wetu tunaowachagua kila baada ya miaka mitano na kuishia kuona rasilimali zetu zikijenga ulaya huku watu wetu wakishindia kisamvu kwa muhogo? Demokrasia maana yake ni umasikini?
HAKIKA GADAFFI NI MFANO WA VIONGOZI WALIOZIPENDA NCHI ZAO NA WATU WAO. FIKRA ZAKE ZITADUMU MILELE.
NATOA CHANGAMOTO KWA WAUJUAO UDIKTETA WA GADAFI WAELEZE UBAYA WAKE KWA WATU WAKE NI UPI?
Mkuu hayo yote sio hiari ya Mtawala kuwatendea wananchi wake kwa mujibu wa rasimali [resourece] zao ni wajibu wake yeye kama kiongozi wao.Msitwambie hayo aliowafanyia hayo kuwa yeye ni MUNGU acheni matusi.Watanzani tulio wengi atuoni kuwa Viongozi wana wajibu wa kuwatendea watu wao kana kuwa wanamtendea Mungu bali sisi tuwatendee wao na kuwaona kama Miungu yetu.