Wajue kina kaka wa Kinigeria wanaotikisa ktk ulimwengu wa movie-Nollwood

Mbona wao, hujatuandikia elimu zao????

Education

Mike Ezeruonye-TANZANIA KULIMKIMBIZA? amesoma accountancy akapangiwa kufanya kazi Tanzania kwenye benki ambayo jina lake sijalipata, akaona aache kazi kuliko kuja Tanzania , ni katika kipindi hiki ndicho alichoanza kuigiza wakati anawaza aje au asije. Ameshazabwa vibao mara nyingi kutokana na role zake moja wapo ni ile ya Broken MARRIAGE ALIYOCHEZA NA CHIOMA.

Siyo kuwa alikuwa hakupendi Tanzania, ila maneja aliyepangiwa kufanya naye kazi hakuona kuwa atatoka

Emeka Ike-Ana degree ya Mechanical Engineering; ana heshimika sana kwa kuinua kiwango cha Nollywood na ku-invest, alifikia hatua ya kuchukua mkopo ili aanzishe industry ya film

Desmond Ellit; ana degree ya economics

Jim Iyke-amegraduate Jos university degree ya Philosophy

Pat Attah alianza kusoma Port H. University hakumaliza kwa sababu anazojua yeye , aliendela kusomea michezo na alimaliza , he is on the way to school, Ramsey na PAT walianza kuigiza pamoja, Pata anafanya part time,

Chidi Mokeme; kapiga shule ya computer and management

Ramsey Noah??? nani anajua
 
hizi shule mnataja kwamba wamesoma nadhani hamna kitu,ni kama dsj,ifm, na vyuo vingine taka vilivyojaa hapo bongo,sidhani kama hapo kunahitajika tumpe heshma msanii yeyote wanigeria,cnt imagine kama mnamsupoprt jim iyke,what a waste?hapo mimi i can turn na nimshabikie ray or kanumba instead of that crap jim iyke,
 
BTW?whats a real real movie that this guys make so we can call them movie stars?even call them african movie star
 
hizi shule mnataja kwamba wamesoma nadhani hamna kitu,ni kama dsj,ifm, na vyuo vingine taka vilivyojaa hapo bongo,sidhani kama hapo kunahitajika tumpe heshma msanii yeyote wanigeria,cnt imagine kama mnamsupoprt jim iyke,what a waste?hapo mimi i can turn na nimshabikie ray or kanumba instead of that crap jim iyke,

I think movies is like other hobbies where someone may choose to like or not,

Vyuo walivyosoma ni vyuo vikuu na vyuo vya kawaida kama ulivyotaja, I think you know engineering is not in just 'college'. What makes us or me to write that is not because I adore them. Nina elimu pengine kuwazidi wao. Sababu ni hizi;

1. Kutokana na matatizo ya ajira n.k in Nigeria, kumepelekea vijana wengi wasomi kuigiza na hii issue ya kufanya mambo bila kuangalia society wenzetu zimewapeleka mbali. Ndiyo maana abroad mtu anaweza kubeba box na kufanya any dirty job akirudi Tz anaona aibu

2. Mentality ya ukoloni na elimu ya kikoloni imetufanya vijana wengi kupenda kuajiriwa, na kukaa ofisini, is suprising to see our graduate kuishia kuwa customer care wa kupokea simu Vodacom, wakati wanaweza kufanya mambo mengine katika jamii.

3. English is our biggest problem, not only for graduate never mention street boys, movie industry ime-influence sana kuongea kwa kiingereza miongoni mwa wa-nigeria. Some industry can real initiate something. Mfano Tz Amina Chifupa (RIP) (na wengine)amehusika sana kukuza miziki ya kizazi kipya, taarabu na hata injili , na leo hii unaona vijana wengi wanafaidika sana na usanii

4. Nigeria is number two in the world kwa production ya idadi ya movies, wameanza miaka ya 60, lakini kuanzia 90-sasa. industry yao imekua vibaya mno. Believe me nchi nyingi jirani na Nigeria wengi wameanza kwa fujo kuzalisha films kwa sababu kwa ujumla ina -stimulate economy ya nchi kwa mambo mengi.Kikubwa ikiwamo utalii, because they sell world wide

5. By giving this information it is my hope that someone somewhere anaweza akawaza kuwekeza kwenye movie industry na hasa za kiingereza, those are ones will make our country to be known. We we ni shahidi Kiswahili siyo language ya biashara.

6.Leo hii wakatokea watu kuwekeza na kustimulate industry, vijana wasiosoma wataenda short couese za kiingereza, lugha ya kiingereza itakua, we will never think of Kenyan and Ugandan that are better than us . Kiingereza kikikua hatutapoteza hela kuwapelekeka watoto Kenya na Uganda; we can actually compete in the global stage!

7. Movie like any other fasihi ina mafundisho, we have so many problems that films can actually teach people. NIGERIA ni taifa lwa watu milioni 120! WATU WANASEMA Na ukifika Nigeria unakuwa umefika Africa, culture za makabila yetu mengi bado ziko huko na zinadumishwa sana, kumbuka movement ya bantu people karne ya 500BC to 1000AD to East Africa na South kwa mfano, walitoka Nigeria, Congo na Cameroon. Today Nigeria could be the only bantu people waliotunza sana mila japo wameendelea sana, kwa sababu hawakuondoka!!

8. Kanumba , Ray n.k They will be Tanzanian na wataheshimika, kupost hizi hakuna maana ya kudharau tulionao. Una uhuru wa kuanzisha thread yao, hakuna wa kukuzuia. Richard (BBA winner), KANUMBA wameshaigiza movie na wanigeria ! why? we need to learn from them may be

Movie aliyocheza Richard, Ini Edo , Uche n.k Wa Nigeria waliipenda sana , japo Rich alikuwa mgeni katika soko. However, it could be because he knows english!

Wahindi na Wa Nigeria kama haujui wametawala soko hata Tz, vijana wanashinda usiku na mchana wakiangalia movie zao, what if zingekuwa za hapa hapa nchini? I guess tungekuwa mbali.

Ukiangalia movie nyingi za Nigeria, you will actually think wameigizia Tanzania, what they act is a typical life of ours. As I speak kuna Black America wengi wamegain sna Interest kuangalia movie za Nigeria, Ghana, Gambia na Carrebean! wanataka wajue walikotoka LOL!

Kusema movie star watu hawasemi kwa sababu wanapenda they have seen them, unaonyesha hujawahi kuangalia, Angalia You tube film ya 'Solid Affection' uone ni jinsi gani tunaweza kupambana na ufisadi ! mwangalie Ramsey anafanya nini! mkuu mwenzako anazungumzia Hollywood unasema sio star!
 
Kalu Ikeagwu
education: English literature Lagos University,

kalu-ikeagwu-bella-naija-sexy.jpg

kalu.jpg

14.jpg
 
Aha ha ha! huyu jamaa huwa ana act gateman au mzembe fulani hivi, Kumbe producer, 'wasiotaka' kujua elimu yake ni ya chuo kikuu, kasomea arts

inojie.png

inojie1.jpg

pic.php
 
Jim Iyke ni moja ya wafanya biashara wakubwa wa mafuta na magari, he is filthy rich guy! umemsahau Emeke Enyiocha, hata Clem Ohame ni mzuri kwa action zake pia na Zack Orji, vipi Osita na Chinedu (Aki na UKwa)?
 
He is the best kwa Nigeria! Akiigiza kwa kweli unafurahi kuangalia movie zake.

Jee na TCHIDI TCHIKERE ni nani?

Tchidi Chikere ni Movie producer and director, japo huwa ana act pale wanapobana matumizi.

I rank him as is the greatest movie producer of this age kwa Nigeria. Movie nyingi sana zilizoziona yeye ndiye kaziongoza
Movie zake ndio the best in Nigeria

143073_Tchidi04_jpg3ba10c2bbf9ffb2f0f48a416694f80b0

Tchidi_Chikere.jpg

1kanayo_chikere.jpg
 
Jim Iyke ni moja ya wafanya biashara wakubwa wa mafuta na magari, he is filthy rich guy! umemsahau Emeke Enyiocha, hata Clem Ohame ni mzuri kwa action zake pia na Zack Orji, vipi Osita na Chinedu (Aki na UKwa)?

WAKO WENGI SANA mkuu

Clem Ohameze says 'all Nigerian women love me' anaugulia maumivu ya talaka,

clem.jpg

clemso.jpg

tochiBenson1small.jpg
akiwa na Chidi Iheze
 
Emeke Enyiocha

Picha zake nyingi zimefanikiwa, mkuu yuko fit]

Number one action Hero in Nollywood!!

chiege2.jpg

Aha, ha , ha , ha, ...

Emeka-Enyiocha.jpg

340845552.jpg

Hii ni Harusi kweli!

21458_Emmy_6_wedding_scene_jpgf7e44514dcb0320a0accffcf3e9e659d

Hii picha 'nimeiba' ikiondolewa bahati mbaya!
 
waigizaji wengi Nigeria wana elimu ya vyuo vya juu, never mention University.

I do believe we have good actors here; handsome guys and beautiful ladies even more than Nigeria, english is a big big problem!
English is northing... Kikubwa ni kwamba hawa wa kwetu wanasumbuliwa na elimu kuwa ndogo. kuonekana gazetini au luningani just once basi anaona amewini, nadhani hii ni kazi kwelikweli
 
Emeke Enyiocha

Picha zake nyingi zimefanikiwa, mkuu yuko fit]

Number one action Hero in Nollywood!!

Aha, ha , ha , ha, ...

Emeka-Enyiocha.jpg

Hii ni Harusi kweli!

Hii picha 'nimeiba' ikiondolewa bahati mbaya!
huyu jamaa ni kama jambazi kiukweli na picha zake nyingi anakuwa kwenye section za ujambazi jambazi
 
Kenneth Arinzechukwu Okonkwo

Educational Background - Academic and Actors school. Bachelor of Science in Management- University of Nigeria, Nsukka. Bachelor in Theology- Pentecostal International Bible Seminary, Lagos. Masters in International Law and Diplomacy, University of Lagos, Akoka

alicheza filamu bora zaidi 'living in bondage' ni producer/director' na very high paid
Nigeria anaheshimika sana, Natoka kuangalia film yake inaitwa 'too late to cry' is available in youtube, very interesting kwa wanaodhani house girl hawezi kupendwa, watch that!

okonkwo.jpg

1.gif
 
Kanayo O kanayo (KOK)

Ana degree ya philosophy anarudi chuoni tena kusomea sheria!

kokanayo1.jpg
K.O.%20K%20copy.jpg
kok.jpg
 
Back
Top Bottom