FL1 huyu naye ni "kaka"....au ameingia hapa kwa default?
ha ha ha acha tu mamie.....yaani nilipomuona nikabidi niulize!!hahaaaaa MEKU bana aaah!!!!
FL1 huyu naye ni "kaka"....au ameingia hapa kwa default?
Pat Atta mie choka kabisa laiti.......
FL1 huyu naye ni "kaka"....au ameingia hapa kwa default?
Usuofia(Nkem Owoh)
Pat Atta mie choka kabisa laiti.......
Usuofia(Nkem Owoh)
Kuna mzee moja hivi wa vichekesh sijui anaitwa nani namkubali kichizi kuna movie moja aliact tabia za kiafrica ndani ya London naipenda na Taxi driver ni baadhi ya movie za Kinigeria nilizowaho kutazama
Anaitwa Nkem Owoh a.k.a Usuofia(angalia post za juu)
http://http://www.youtube.com/watch?v=xH9zeCmZojg&feature=related
http://http://www.youtube.com/watch?v=5SUUaJQOq1A&feature=related
http://http://www.youtube.com/watch?v=CQJo_Hz0vjo&feature=related
.........Nkem owoh huyu baba ana vituko, movies zake huwa zinafurahisha sana. Kuna osuofia in London,calculator,my only hope,John bull & Rosekate etc.
Ramsey, Emeka Ike na Jim Iyke ni wa wasomi wa vyuo vikuu tofauti na kina Kanumba wetu waliowahi kusema "I am closed" yaani eti kafunga mwezi mtukufu!