Wajue kina kaka wa Kinigeria wanaotikisa ktk ulimwengu wa movie-Nollwood

Enebeli Elebuwa

enebeli.jpg


elebuwa.jpg
 
Van Vicker

van-vicker.jpg


thumb_copyright.aspx.jpeg


We MREMBO Firstlady mtoto wa kinyiramba, VAN VICKER sio M-NIGERIA "HE IS FROM GHANA....
 
Chinedu Ikedieze, a graduate of mass communication (Institute of Management & Technology, Enugu) and


_40094712_nollywood2203.jpg



Osita Iheme, also a mass communication graduate (Enugu State University of Technology)
Nollyw43.jpg




5669-deb_up_28.jpg





 
Bila huyu tena!

wenyewe wanamwita -Denzel washgton wa Nigeria,

Richard Mode Damijo -RMD



RICHARD%2520MOFE%2520DAMIJO.jpg


rich.jpg


richard.jpg
 
esiri.jpg


Justus Esiri -Veteran, since 70s kwenye industry, kapiga shule, siasa n.k Again alisomea uhandisi akagraduate na kupiga chini fani akaanza issue zingine,

humjui huyu hujaangalia mvie za Nigeria!

hawa ndo wale wakongwe wetu ..namu admire pia huyu mdingi
 
Richard Mode Damijo -RMD huyu jamaa yuko fit hasa kwenye ile movie aliyoigiza kama Pastor Oken..Big up kwake
 
Kuna mzee moja hivi wa vichekesh sijui anaitwa nani namkubali kichizi kuna movie moja aliact tabia za kiafrica ndani ya London naipenda na Taxi driver ni baadhi ya movie za Kinigeria nilizowaho kutazama

Huyo Nkemi Owoh....yuko ki-comedy zaidi...bonge la intertainer
 
Olu Jacobs, mzee anayehisiwa anaongea fluent englis kuliko wote, kwenye fani

Olu-Jacobs.jpg


j.bmp

Kafanya kaziTheatre Arts London 70s, ana bachelor of Theatre Arts...nafarijika sana kuangalia movies zake...ana gestures ambazo huwa sizioni kwa wengine, except kwa Harrison Ford.
 
Tusimsahau star wa nguvu Patience Ozonkwo, mama wa matata, mizengwe, vitimbi....ana movies kibao...mwenye picha aiweke.

Yupo mwanamama mwingine, Stella Damasus...she is pretty and capable
Naye Stepanie Okereke, Mary Johson etc.
 
Kafanya kaziTheatre Arts London 70s, ana bachelor of Theatre Arts...nafarijika sana kuangalia movies zake...ana gestures ambazo huwa sizioni kwa wengine, except kwa Harrison Ford.

Ni kweli movie zake zimetulia sana huyu babu kwa ujumla naona kama Wanigeria wote wako juu hakuna ambaye fani haiwezi
 
Back
Top Bottom