karibu sana umependelea nini zaidi ,siasa utamaduni or
Mh... mbona huyu jamaa kama vile yupo tangu mwaka jana mwezi wa pili?
Ulibadili I'd eeeehh?Hodi hodi wanajamii, kwa majina natwa Adam Msendo, mkazi wa Dodoma, ninapenda kuwa miongoni mwa wanajamii ktk kuchokoza,kusikiliza, na kuchangia hoja mbalimbali. ninapenda zaidi habari za uchumi, siasa na kijamii. Naomba kuwakilisha