Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,216
- 3,126
watu wamekojolea na kutungishana mimba halafu wewe unaendeleza tu, kha!
Niliwahi kuwa na mpenzi wangu kwa kipindi cha miaka mitano,baadae akapata nafasi ya chuo kwenda kusoma nje ya nchi.Mapenzi yetu yaliendelea kama kawaida,ikawa akirudi likizo twaendeleza kula tunda la mti wa kati kama kawaida.Alipokaribia kumaliza masomo yake hakurudi kama miaka miwili hivi,na aliporudi alikuwa na ujauzito mkubwa tu.Akaniambia ujauzito si wangu na mwenye nao amemkataa,na aliogopa kurudi kwani dhamira ilikuwa inamsuta kwa jinsi nilivyokuwa namjali na kumpenda.Nikasamehe,kwakuwa tulipendana basi tukaendelea kufanya mapenzi kwa takribani miezi mitatu,nilipenda sana.Alipojifungua sikuwa na hamu nae tena,nikawa na mazoea na binti mwingine jirani yetu naye alikuwa mjamzito tukafanya nae mpaka alipojifungua.
Imekuwa mahitaji yangu ya mapenzi yako kwa wajawazito tena wenye mimba kubwa...napendwa na wadada warembo lakini nimekuwa nikiwaacha na kufata wajawazito...
Tafadhali nisaidieni kuweza kuachana na tabia hii,kwani inazidi kukomaa kwangu!
Wengine watasema ni psychological thing n they are right; mimi nasema nilipepo ulilokutana nalo ulivuomuongia huyo mpenzio akiwa mjamzito.
Utambiwa nenda kwa Councilling n again they are right; lkn mimi nakushauri nenda concilling ya kiroho, fanyiwa maombi funga, rebuke hiyo bad spirit ikatae na uishi huo ukatao wako.
Na angalia maisha yako, yanaenda sawasawa? Ukienda kwa non pregnant one mambo yanakuwa sawa? Angalia usineshindwa kuzaa mwenyewe.
Nasisitiza kemea hilo likitu, sio potion yako.
Wajwazito ni watamu jamani acheni mashara....yaan fasta unakojoa