Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,622
- 8,427
Imeripotiwa kuwa baadhi ya akinamama wajawazito na ambao tayari wamejifungua katika Kituo cha afya cha Katoro Wilayani Geita, wanalazimika kulala watatu katika kitanda kimoja huku wengine wakihatarisha afya zao kwa kulala chini. (Azam TV)
Pamoja Na wabunge Na madiwani wa upinzani kuunga mkono juhudi lakini bado hali nchini imekuwa mbaya sana.