CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Na hii ni sana kwa madada duu wa vyuo......
anajibana na kajeans hadi siku anaenda lab, kazi ipo.
Wengi nadhani watakuwa wanapoza injini tu...huwa nasikia mwanamke mjamzito ana kifanyio cha motoooo!!!
Mwanamke mjamzito anatakiwa avae ngua ambazo zinampa nafasi na zile ambazo hazibani tumbo lake.
Anaweza kuvaa madila au magauni mapana yasiyobana tumbo lake.
View attachment 96223
Kwa upande wa viatu anashauriwa kutovaa viatu vyenye kisigino kirefu. Hivi ni baadhi ya viatu ambavyo mama mjamzito anapaswa kuvaa.
View attachment 96224
Hata cha KE huwa kinafanya bhanaaa....Daddy hebu fafanua hapo kwenye red.... Mie ninavyoelewa kifanyio ni kitu cha kufanyia, mfano kalamu ni "kiandikio" je daftari pia laweza kuwa kiandikio????
Habari zenyu bhana......... Hope mko pouwa!
Kuna hii issue ya wajawazito kuvaa nguo fupi maarufu kama vimini, unakuta mama mjamzito kavaa kigauni au kiskirt kifuuupiiiii saaaaana kinachofikia nusu ya mapaja afu ndani hajavaa nguo nyingine. Na wengine wamekwenda mbali wanavaa skin tight au skin jeans na top dress, wengine hawavai kabisaaaa nguo za kuachia mwili upate nafasi, wameng'ang'ania visuruali na vipyedo ilhali hawajua madhara yake. Hivi ndio kwenda na wakati au kupunga upepo?? Au kwa vile ni wajawazito wanakuwa na haki ya kufanya chochote watakacho????
Sijui ni ushamba wangu au ni sawa???
Hebu wataalamu wa afya ya mama mjamzito mwageni mapwenti hapa, huenda kuna wengine hawajui madhara ya kuvaa nguo za kubana wakati wa ujauzito!
Wabheja sana!
Mkuu saudari we wasema, unakuta mama mjamzito kapigilia skin jeans na high heels utamtaka thatha! Anakwambia avae madila kwa yeye mbibi au mtushamba???
Habari zenyu bhana......... Hope mko pouwa!
Kuna hii issue ya wajawazito kuvaa nguo fupi maarufu kama vimini, unakuta mama mjamzito kavaa kigauni au kiskirt kifuuupiiiii saaaaana kinachofikia nusu ya mapaja afu ndani hajavaa nguo nyingine. Na wengine wamekwenda mbali wanavaa skin tight au skin jeans na top dress, wengine hawavai kabisaaaa nguo za kuachia mwili upate nafasi, wameng'ang'ania visuruali na vipyedo ilhali hawajua madhara yake. Hivi ndio kwenda na wakati au kupunga upepo?? Au kwa vile ni wajawazito wanakuwa na haki ya kufanya chochote watakacho????
Sijui ni ushamba wangu au ni sawa???
Hebu wataalamu wa afya ya mama mjamzito mwageni mapwenti hapa, huenda kuna wengine hawajui madhara ya kuvaa nguo za kubana wakati wa ujauzito!
Wabheja sana!
Ngoja tuunde tume kubaini ukubwa wa chanzo cha uvaaaji huo na matatizo yanayoweza kutokea kwa uvaaji huo.
My dear friend, unavijua lakini vimin anavyovizungumzia charminglady?vimini solo ni vizuri kwa afya ya mama mjamzito, kuhusu suruali au skinjeans, kuna za wajawazito ambazo zinakuwa na nafasi ya tumbo. Sidhani kama ukiwa mjaamzito basi uvae magunia au mifuko.
Mwisho wa siku ni maisha binafsi ya mtu au mtu na mumewe ambao wanapaswa kuchagua, wengine hatuna uhalali wa kuwapangia watu waishi vipi.
My dear friend, unavijua lakini vimin anavyovizungumzia charminglady?
siyo vile ambavyo mimi na wewe tulikuwa tunavaa, tunaviita 3/4, siku hizi ni vimin vya juu ya magoti.....sasa pata picha na tumbo lipo mbele ndo utaijua habari yake.....