Wajasiriamali jihadharini na utapeli huu

Mtoa mada hebu unifafanulie vizuri.Daktari kanishauri nisile nyama nyekundu.Nikaamua nile sungura wa kuchoma sh 65,000.Huo utapeli uko wapi hapo? Au ulikuwa na maana ya 'dhuluma' ya bei wewe ukaita utapeli?
Unakulaje sungura wewe yule si paka kabisa yule...
 
Bujibuji tafadh, hebu niweke vzr juu ya hii NAMAINGO. Once nliickia kupitia rafik yng akinishawishi niende pata Semina yao, aliwasifia kwa kusema wanatoa elimu ya Ujasiliamali, wanakukopesha mtaji na kukutafutia soko la bidhaa zako huku ukirejesha mkopo taaatibu....!. Ss inaonekana uko nao vzr, plz.
 
sungura huyu huyu kwa utamu gani mpaka nikamnunue kwa hyo bei,,,hyo pesa ukienda pale usangu-mbeya unapata beberu mkubwa sana [emoji1] [emoji1] [emoji1]
MATOMONDO Hapa unapata Mbuzi wawili.
 
Utalipia seminar, materials, ufundi wa mabanda, mbegu, madawa etc. Wanakusadikisha kuwa sungura utauza 60,000/- Wakati sokoni sungura ni 20,000/-.
 
Tbcc wanauza sungura mmoja ni 75000 na unatakiwa kununua kwa pair anadai wanajenga kiwanda cha kusindika nyama ya sungura maeneo ya kerege akasema kiwanda kingeanza kazi October ila sina hakika kama kimeshaanza.mimi napitaa[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Kadri maisha yanavyo wapiga wananchi ndivyo utapeli unaongezeka. Juzi kati nimetua kitaa vijana wako bize wanatafuta paka mweupe asiye na doa. Kuna tajiri anawanunua paka mmoja kwa mil 10. Vijana hawatulii kitaa
Kumbe ndo maana paka wangu kapotea katika mazingira ya kutatanisha,kumbe alikuwa ni dili.ningejua ningemuuza mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…