Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,715
- 167,726
- Thread starter
-
- #41
Kwa kipato kipi?Mtoa mada hebu unifafanulie vizuri.Daktari kanishauri nisile nyama nyekundu.Nikaamua nile sungura wa kuchoma sh 65,000.Huo utapeli uko wapi hapo? Au ulikuwa na maana ya 'dhuluma' ya bei wewe ukaita utapeli?
hata majini yanafugwa na kuuzwa, ni wewe tu na mfuko wakoMsijali Kama hamli sungura me nauza kunguru kwa bei Poa kabsa
Huwezi kumpangia mtu cha kununua, anachagua akitakacho kulingana na mfuko wake. Kama unachokinunua wewe hukiwezi sio sahihi kuita hiyo hali 'utapeli'Kwa kipato kipi?
Kilo MOJA ya sungura unakula siku ngapi?
kuna kuku, samaki, bata etc ambao bei yao ni affordable.
Kwanini usinunue hao?
Ukimuona tena muogope kama ukoma.Duh, juzi nilikutana na mdada kavaa T-shirt ya Namaingo. Leo nikikutanaye tena, hana bahati.
sungura huyu huyu kwa utamu gani mpaka nikamnunue kwa hyo bei,,,hyo pesa ukienda pale usangu-mbeya unapata beberu mkubwa sana [emoji1] [emoji1] [emoji1]Watanzania wenzangu msidanganyike na kuingia kwenye biashara hii. This is a typical white elephant business.
Ni nani ambaye yuko tayari kununua sungura mmoja kati ya TZS.36,000/- hadi 65,000/-????
Mnunuzi yuko Tanzania hii hii ya Magufuli ambayo hadi mabiashara makubwa yanaanguka kwa kukosa wateja?
Namaingo acheni utapeli. Namaingo acheni ubabaishaji. jsenyinah tafuta shughuli halali ambayo MUNGU atakubariki nayo, wacha kuwaingiza wenzako choo cha watoto ambacho kimejaa ma poti na pampas zilizotumika, wakapata aibu ya kujisaidia maungoni.
Hata zinaa Biblia imekataza, lakini ndio dhambi inayowaangusha watumishi wengi zaidi.Biblia imekataza kuwala Sungura...
Kutapeli/ kulaghai ni kuaminisha kitu kipo wakati haipo.Huwezi kumpangia mtu cha kununua, anachagua akitakacho kulingana na mfuko wake. Kama unachokinunua wewe hukiwezi sio sahihi kuita hiyo hali 'utapeli'
Namaingo waliwadanganya wafugaji kuwa kuku wa Kuchi aweza uzwa kwa 300,000/- mpaka 550,000/-sungura huyu huyu kwa utamu gani mpaka nikamnunue kwa hyo bei,,,hyo pesa ukienda pale usangu-mbeya unapata beberu mkubwa sana [emoji1] [emoji1] [emoji1]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kadri maisha yanavyo wapiga wananchi ndivyo utapeli unaongezeka. Juzi kati nimetua kitaa vijana wako bize wanatafuta paka mweupe asiye na doa. Kuna tajiri anawanunua paka mmoja kwa mil 10. Vijana hawatulii kitaa
Hao sungura wa aina mbona huku kwetu kijijini wapo wengi inaweza kuwa fursa hii eeh ?
kumbe ni matapeli wa muda mrefu??Namaingo waliwadanganya wafugaji kuwa kuku wa Kuchi aweza uzwa kwa 300,000/- mpaka 550,000/-
watu wakapata hasara ya mwaka.
Watanzania wenzangu msidanganyike na kuingia kwenye biashara hii. This is a typical white elephant business.
Ni nani ambaye yuko tayari kununua sungura mmoja kati ya TZS.36,000/- hadi 65,000/-????
Mnunuzi yuko Tanzania hii hii ya Magufuli ambayo hadi mabiashara makubwa yanaanguka kwa kukosa wateja?
Namaingo acheni utapeli. Namaingo acheni ubabaishaji. jsenyinah tafuta shughuli halali ambayo MUNGU atakubariki nayo, wacha kuwaingiza wenzako choo cha watoto ambacho kimejaa ma poti na pampas zilizotumika, wakapata aibu ya kujisaidia maungoni.
Inawezekana kuna ukweli lkn mbona hutoi njia mbadala ya kuwasaidia watanzania, huo ni unafiki na mnafiki ni zaidi ya mchawi. Watanzania wanahitaji Msaada sio lawama.Bujibuji kuna zile semina nazisikiaga kwenye radio utasikia......SEMINA YA UJASIRIAMALI ITAFANYIKA JUMATATU HADI JUMATANO UKUMBI WA..... MBAGALA. KUANZIA SAA 2 ASUBUHI HADI SAA 10 JIONI UTAFUNDISHWA NA MWALIMU ........ KUHUSU UFUGAJI WA KUKU, BATA, KUTENGENEZA MAZULIA, SABUNI MBALIMBALI KWA MATUMIZI YA NYUMBANI NA VIWANDANI, KUTENGENEZA DAWA ZA CHOONI, ZA KUULIA WADUDU WATAMBAAO NA WARUKAO NA DAWA ZA MANUKATO MAZURI -AIR FRESHENER. PIA VITABU VYA MASOMO HAYO VITAUZWA UKUMBINI KWA NUSU BEI YA VINAVYOUZWA MADUKANI. WANASEMINA 100 WA KWANZA WATAPATA ZAWADI MLANGONI. SEMINA NI TSH. 1,000 KWA SIKU. KARIBUNI SANA.
Najiuliza tuu hivi kweli huu sii utapeli? Maana kwa mtu kupata elimu ya vitu vyote hivyo yataka vitendo na pale ni ukumbini. Halafu siku tatu uwe ushapata elimu ya vitu vyote hivyo...... na walivyo wajanja bei ya kiingilio wanaweza ndogo ili watu waje wengi, hadi ma house girl wanaenda wakijipa moyo nikisave hela zangu nianzishe mradi wangu ili aondokane na kufanya kazi za ndani. Kingine nj kuwauzia vitabu vya MASOMO hayo wenyewe wakiona kwa nusu bei, kweli......
Mie mtazamo wangu huu ni utapeli au kuchukua nafasi ya hali ngumu ya uchumi na ugumu wa maisha huko mtaani mtu akisikia kitu anaona hapa ndo pa kutokea, anajisunda anaenda tena kwa bei rahisi..... asikwambie mtu bure gharama hapo kwa siku hizo tatu watakusanya pesa nyingi tuu kuliko unavyodhani. Na wana semina wataondoka na mawazo mazuri ila utendaji ndo hakuna maana hawapewi elimu kwa vitendo...... maneno mingi tuu na utapeli.
Kweli kuishi mjini ni akili na kupiga mahesabu vizuri, sasa wale waliochukia hesabu darasani wajua hata kutapeli kunataka upole hesabu.
Nimejikuta nawaza kwa sauti. ....
Inawezekana kuna ukweli lkn mbona hutoi njia mbadala ya kuwasaidia watanzania, huo ni unafiki na mnafiki ni zaidi ya mchawi. Watanzania wanahitaji Msaada sio lawama.
Ni marufuku kuwaza kwa sauti.Bujibuji kuna zile semina nazisikiaga kwenye radio utasikia......SEMINA YA UJASIRIAMALI ITAFANYIKA JUMATATU HADI JUMATANO UKUMBI WA..... MBAGALA. KUANZIA SAA 2 ASUBUHI HADI SAA 10 JIONI UTAFUNDISHWA NA MWALIMU ........ KUHUSU UFUGAJI WA KUKU, BATA, KUTENGENEZA MAZULIA, SABUNI MBALIMBALI KWA MATUMIZI YA NYUMBANI NA VIWANDANI, KUTENGENEZA DAWA ZA CHOONI, ZA KUULIA WADUDU WATAMBAAO NA WARUKAO NA DAWA ZA MANUKATO MAZURI -AIR FRESHENER. PIA VITABU VYA MASOMO HAYO VITAUZWA UKUMBINI KWA NUSU BEI YA VINAVYOUZWA MADUKANI. WANASEMINA 100 WA KWANZA WATAPATA ZAWADI MLANGONI. SEMINA NI TSH. 1,000 KWA SIKU. KARIBUNI SANA.
Najiuliza tuu hivi kweli huu sii utapeli? Maana kwa mtu kupata elimu ya vitu vyote hivyo yataka vitendo na pale ni ukumbini. Halafu siku tatu uwe ushapata elimu ya vitu vyote hivyo...... na walivyo wajanja bei ya kiingilio wanaweza ndogo ili watu waje wengi, hadi ma house girl wanaenda wakijipa moyo nikisave hela zangu nianzishe mradi wangu ili aondokane na kufanya kazi za ndani. Kingine nj kuwauzia vitabu vya MASOMO hayo wenyewe wakiona kwa nusu bei, kweli......
Mie mtazamo wangu huu ni utapeli au kuchukua nafasi ya hali ngumu ya uchumi na ugumu wa maisha huko mtaani mtu akisikia kitu anaona hapa ndo pa kutokea, anajisunda anaenda tena kwa bei rahisi..... asikwambie mtu bure gharama hapo kwa siku hizo tatu watakusanya pesa nyingi tuu kuliko unavyodhani. Na wana semina wataondoka na mawazo mazuri ila utendaji ndo hakuna maana hawapewi elimu kwa vitendo...... maneno mingi tuu na utapeli.
Kweli kuishi mjini ni akili na kupiga mahesabu vizuri, sasa wale waliochukia hesabu darasani wajua hata kutapeli kunataka upole hesabu.
Nimejikuta nawaza kwa sauti. ....
Ni marufuku kuwaza kwa sauti.
Semina INA masomo kibao, wanafunzi kibao, na wote wanafundishwa na Mwalimu mmoja.