Wajasiriamali jihadharini na utapeli huu

Wewe hujaeleweka, unapinga bila ya ushahidi!
 
Duh kuchi laki 5?

Hii fursa ilinipotaje??? Ningewauzia majongoo wangu wana jf

Hivi hii biashara ya sungura watu wanaamini????
Mazuzu wanaoingia biashara kikichwakichwa wataamini. Watatoa pesa zao ku nunua mbegu, mabanda, mabanda na kulipia gharama za ushauri na pesa haitorudi
 
Kama walivo kuku choma kila mahali unapata, ndivo na mfugaji solo lake lilivyo, popote atauza' Hawa sungura choma sijawai on a mahali wanauzwa"
TZS.65'000/- kwa mboga ya kilo 1-1½
utamuuzia nani?
Ingekuwa zama zile ungeuza serikalini.
Kwasasa hivi ni sawa na Tanzania kuipiga kijeshi USA.
 
Kadri maisha yanavyo wapiga wananchi ndivyo utapeli unaongezeka. Juzi kati nimetua kitaa vijana wako bize wanatafuta paka mweupe asiye na doa. Kuna tajiri anawanunua paka mmoja kwa mil 10. Vijana hawatulii kitaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…