Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 9,313
- 14,983
Habari za Kitafiti zinasema kwamba Nchi ya Ujapani itateketezwa kabisa na Volkano ndani ya miaka 200 ijayo, kama ijulikanavyo nchi hiyo kijiografia ipo kwenye Eneo Hatari sana na inaweza kuteketea muda wowote ule, na Wajapani wanalijua hilo, sasa SWALI ni kwamba hawa Watu zaidi ya milioni 120 watenda Wapi?
Kwa haraka haraka nikiangalia huko kwao Asia hakuna nchi ambayo wanaweza kuvamia na kuweka makazi, Marekani ya Kusini nayo haiwezekani wote kule wameshajipanga, vipi kwetu Afrika? Watu ambao tunategema misaada mpaka chupi za mitumba?
Je hatutaamishwa na kusukumizwa kwenye Mapori huko kupisha Wajapani kama Wazungu walivyofanya AK? je, tuna nguvu za kujitetea dhidi ya Wajapani kama sasa wakati ukifika na wakiamua kuhama na kutafuta makazi mengine? tambua kwamba Wajapani walivamia tu hicho Kisiwa wakitokea Uchina, Korea na kwingineko, sasa kama kikinuka huko kwenye hicho kisiwa wataenda wapi?