Wajapan vipi (JICA)

Wajapan vipi (JICA)

TRACEY INNO

Member
Joined
Mar 14, 2014
Posts
31
Reaction score
7
Jamani leo tar 28/03 mpaka sasa hata simu? Dah....basi tena hii. Application ya 18 sasa hii chaliiiiiiiii...........
 
Hahahaha dah bora ww unakumbuka app ya ngapi...me hadi kuna sehem nilizotuma nimeshazisahau....bt ipo siku
 
Jamani leo tar 28/03 mpaka sasa hata simu? Dah....basi tena hii. Application ya 18 sasa hii chaliiiiiiiii...........

kumi na nane TU? hii inachekesha sana HAKI YA MUNGU, umemaliza mwaka gani mkuu? maana hata kama umemaliza mwaka jana application zinatakiwa zisipungue 100 otherwise haupo serious
 
Vumilia dogo, wengine tulikaa miaka miwili bila kazi enzi hizo so wewe kuwa mpole tu!
 
Kuna watu walipigiwa tarehe 27. Pole sana.
 
Ambaye anapafahamu vizuri ashee tafadhali kama hata-mind. Salary structures; mazingira ya kazi, n.k
 
Back
Top Bottom