July Fourth
JF-Expert Member
- May 2, 2012
- 2,240
- 795
wakuu- mie kwangu hii kitu wananipunguza sh. 200 hata pale nisipojiunga.. Niaje hapa wakuu..
Au ndo automatic kujiunga??
Au ndo automatic kujiunga??
Jamani tujuzane mbona mie wajanja sasa hivi siipati mnaingiaje?
mbona mimi hawakati mpaka niunge mwenyewe, jana tu nimeunga