Wajameni mnakumbuka Bagamoyo Rd -Samaki wabichi

Wajameni mnakumbuka Bagamoyo Rd -Samaki wabichi

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,896
Reaction score
15,124
View attachment 98727
Huyu jamaa masikini ya Mungu , pale Mbezi Samaki Wabichi, amejenga nyingi sana.
Amejenga nyumba hii zaidi ya miaka 25 iliyopita na hajawahi kukaa humo.
 
Baada ya barabara kukamilika ataishi bondeni raha mstarehe
 
Haya ndio madhara ya kujifanyia "land reclamation" kienyeji enyeji. Mtu unachukua tu likifusi unalimwaga then unajenga kwenye mkondo wa maji.....yatapita wapi?

Hata hao mabingwa wa reclamation, The Netherlands huwa hawaifukuzi bahari moja kwa moja. Wanatengeneza channels za maji kupita ili yapate njia pindi yanapohitaji kufanya hivyo. Na channels hizo hutumika kama njia za usafiri kufika katika maeneo mbalimbali mijini.

Maji huwa hayafukuzwi moja kwa moja kwenye njia yake. Ukitaka kuyafukuza kutoka eneo moja ni lazima uyatengenezee njia mbadala, la sivyo utakiona cha mtema kuni.
 
Back
Top Bottom