Wajameni mkalimani twafadhali!!!

Wajameni mkalimani twafadhali!!!

Ranks

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2012
Posts
2,583
Reaction score
1,098
Mwenzenu mie nilibahatika kupata bahati ya kufuta ujinga enzi zile za Mwalimu kwa mpango ule wa 'elimu ya watu wadhima'.
Mdhaada twafadhali........
images-272.jpeg
 
Amesema " Kama wewe ni mzinifu acha mara moja ni dhambi kuzini. Ila kama unataka kuzini oa kabisa"
 
Amesema " Kama wewe ni mzinifu acha mara moja ni dhambi kuzini. Ila kama unataka kuzini oa kabisa"
Hivi ukishaoa hilo tendo bado linaitwa kudhini???
 
Back
Top Bottom