Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
- Thread starter
-
- #61
Ruta nimekupoteza kitambo mkuu? Ndo mambo ya kwenda nyumbani kusalimia nini? Si unajua kwetu hata simu hazikamati. Ahhhhhhhhh
[MENTION]Kunivuta mshipini, nao ni uwezo wako,
Kujua kina kilindini, usipime maji ya ugoko,
Na ukitaka kwenda mwezini, usigeuze limbuko,
Pimwa usijipime, kujua uwezo wako
[MENTION]mkuu, heshima kwanza.
:focus:
Unajua hali halisi ya maisha kwa sisi watanzania ndo inasababisha mpaka tunashindwa kujua limit yetu. Yani mtu unajikuta unahangaika na kupamabana kwa sana ili utoke, naturaly unapotoka hatua moja kuingia nyingine matatizo ndo yanaoongezeka sasa inakubidi ujipange tena for the next move.
Ruta nipo jamaa yangu sema siku hizi nimebadilisha mapigo nimehamia Pub moja kama unaelekea kwa Idd yale maeneo ya Raskazoni Nzi wengi!
Ebo kumbe mko kwa Idd? Ebo wadau nyie mmenikumbusha mbali! lol
Haika tujihami kivipi?
Tunapokumbushana kama hivi, kama mtu anaamua kuchukua muda kutafakari uzito wake, halafu anachukua uamuzi wa kufanyia kazi maamuzi yake.
Ni jambo gumu, kuamua kuwa realistic, bila kuwa pessimist.
Tuendelee kukumbushana