Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,217
Nchi yetu ina maajabu..wanakila kitu cha kizazi kipya...Wajamaa wa enzi ya Nyerere walijitahidi sana kutofanay chochote cha kimangaribi km kuvaa suti,kuendesha magari ya kifahari ya kibepari,wajamaa mali ya umma haikuwa ikichezewa wala kutumika kwa matumizi binafsi.
Ila wajamaa wa kizazi hiki wanamiliki magari ya kifahari ya kimagharibi kuliko hata mabepari wa huko magharibi...mabilionea wa kimagharibi wengi tuu wanakaa ktk nyumba ndogo,wanatumia computer za zamani sana bila shida,wengine hawana simu ya mkononi...
Wajamaa wa TZ wa kizazi hiki wana HAMMER, wana SUTI ZAIDI YA MOJA,NA WANAOMBA 700m kutoka mfuko wa umma km Pocket money bila shida kabisa...tunaona mengi sana kizazi hiki.Hata kwa vigezo vya mabepari hawa wajamaa wa kizazi kipya wanayo kazi kutofautishwa na mabepari weusi wa Magharibi mwa dunia.
CC: Yericko Nyerere