Waja leo waondoka leo?

Waanika makopa yakauka vyedi wayatwanga wapata unga mtana wasonga ugali wa bada...

Wauda na msunga na ngogwe za kuchoma .....uuwooooo......[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Ahsante zake Kasie kwa ufafanuzi
Kazi kwa wapishi sasa, maana somo tayari.
Hongera zako bibie
Post yako imenambia mambo matatu
1. U muandishi mzuri, waandika kama waongea, nimependa khasa code mixing yako.....'yakauka vyedi' na 'unga mtana' , wankumbusha Korogwe, Mombo na Sambaani, waambie pia watu wa Lindi kuwa Ngogwe ni nyanya chungu
2. U mpishi hodari wa vyakula vya asili, kupika bada kwataka ufundi maana unga wanata kama supagluu. Mpishi wa bada ni mtaalamu wa jiko.
3. U mwalimu mzuri, nimegundua hapo kwenye somo la upishi wa bada, najua u mzuri wa kufundisha mengi.
Hongera zako.
 

Nashukuru kwa jicho lako kuona vya ndani.

Humbled πŸ™.
 
Nashukuru kwa jicho lako kuona vya ndani.

Humbled [emoji120].
Vya Ndani!!!
How many times should I repeat the phrase to understand what it means
Mh.....
Akili yangu nyembamba haijajua methali
Huu ni mstari katika shairi la
Kama mnataka mali mtayapata shambani
 
Mahaba tele tele...

Waletewa mchuzi wa papa ulotiwa nazi na ugali wa bada....πŸ˜‹πŸ˜‹
dada kasie umeongea kitu kimenikumbusha mbali sana.acha tuu
 
Zanzibar kuna sehemu inaitwa Mchambawima, ulishawahi kuwaona mchamba wima mwenyewe?
Ulishawahi KUWAONA mchamba wima MWENYEWE? Hili suali sijalielewa, au ndo akili yangu nyembamba au muuliza suali hajui auliza nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…