Waiyaki wa Hinga

Tupe mre details kuhusu huyu chief mkuu
 
Yeh, muhimu sana hii, detail hazitoshi Mshana Jr

Mshana ni mdau makini hatatuangusha..tumuombeee tu
Kwa ufupi sana
Waiyaki wa Hinga alikuwa ni kiongozi askari na msemaji wa kabila la Agikuyu (Kikuyu) aliyeheshimika sana... Mpaka mauti yanamkuta alikuwa na umri wa miaka 48 na wake wengi
Ni viongozi wapiganaji wa mwanzo kabisa waliomiliki majeshi, na akawa muasi wa kwanza kwa wakoloni wa kiingereza kutokana na Tania mbaya za wakoloni hao dhidi ya nchi yake ya Kenya
Alizikwa hai eneo la Kibwezi akiwa njiani kwenda Mombasa tarehe 17.08.1891 kwa amri ya wakoloni
 
Mkuu funguka kidogo, napenda sana story za hawa watu mashuhuri Africa. Pia najua utakuwa unamfahamu "Mtemi Simbakaung'ando, naomba kama una habari zake"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…