Waitara: Wafuatao wanahama CHADEMA

Kisiasa hilo ni baya sana maana sasa hawataaminika tena ndani ya vikao vya Chadema
 
huyu nae alikuwa mbunge wa njiapanda ya ulaya(ukonga) airport ndio maana wazungu hawashuki tz
 
Watamnyoosha vip mkuu wakati anasubiri kutangazwa tu? Au bado unaamini katika ushindi wa sanduku la kura?

Kwa mazingira haya ya ushindani chini ya utawala wa Magu kwa mpinzani kusubiri ushindi kwa njia ya box la kura, ni sawa na kusubiri meli uwanja wa ndege.
 
Huyo nadhani alikoenda ameharibiwa akili.
 
Kuna mgogoro gani huko Chadema
Kila mtu anaujua huo mgogoro. Unahusu pesa. Na huu ndiyo unaosababisha Mbowe alazwe ICU mara kwa mara akiwa amepoteza fahamu, siyo kwa organic pathology ila kwa psychogenic pathology! Ugonjwa unaitwa moneyitis. Tiba yake ni kujiuzulu uwenyekiti na u KUB 😂😂😂!
 
Waitara tunaomfahamu tangu tukiwa pale kijijini kangariani/kobori ni shida,mpe viroba atatapika yote.
 
Hivi Mbowe aweza kuwa muhimu kuliko ajenda inayoijenga cdm?
 
Hahahaha
Chadrama kwishney walahi
That’s all
hakuna siasa za hatari kama sasa hivi,you get shot dead or locked up
hivi unaweza kuwa proud of this wave kwa ukatili na udikteta wa sasa hivi
i bet hata nyinyi maccm mnaona aibu jinsi jiwe linavyotia aibu kwa woga wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…