Sahihi kiongozi hawa ni aina ya wabunge wa matumbo yao na siyo kwa manufaa ya uwakilishi wa wananchiWabunge wanaongea kwa tumia HAMASA na kufukuzia TEUZI badala ya kutumia WELEDI
Huku mitaani kuna WASOMI wa kila aina kuliko huko bungeni hivyo lazima wajue kuwa kila wanachoongea na kuchambua watu huku mitaani wanafanyia PERFORMANCE APPAISAL kwa maslahi mapana ya Tanganyika.
Huyo na Morel wote vichwa vyao vibovuSidhani kama ni mzima
Akipiga huwa hakawii kulia,itakuwa hang over hiyoUkute tayari kashapiga konyagi bapa
Ndiyo maana linajikojoleaga halina akili kabisa,kwanza linawadhalilisha Wakurya.Mbunge anayeibuka na maneno ya kujikomba ili kulinda kibarua chake huyo ni ndumila kuwili.
Nadhani sasa hivi Waitara anaiwazia sana nafasi yake ya ubunge pale Tarime ndiyo maana anayafanya mambo ya hovyo.
Ebu msikilizeni kwanza ndiyo mtajua namaanisha nini.
Hivi huyu ndiye mbunge anategemewa auchambue mchakato wa kubinfsisha bandari kwa manufaa ya taifa?
View attachment 2652640View attachment 2652641
Kwenu mtu wa maaana , Nikama vile akina mdude na lemaa.Mbunge anayeibuka na maneno ya kujikomba ili kulinda kibarua chake huyo ni ndumila kuwili.
Nadhani sasa hivi Waitara anaiwazia sana nafasi yake ya ubunge pale Tarime ndiyo maana anayafanya mambo ya hovyo.
Ebu msikilizeni kwanza ndiyo mtajua namaanisha nini.
Hivi huyu ndiye mbunge anategemewa auchambue mchakato wa kubinfsisha bandari kwa manufaa ya taifa?
View attachment 2652640View attachment 2652641
Hadi nimetamani kutukana. Eniweis, njaa ni mbaya sana kwa kweli.Mbunge anayeibuka na maneno ya kujikomba ili kulinda kibarua chake huyo ni ndumila kuwili.
Nadhani sasa hivi Waitara anaiwazia sana nafasi yake ya ubunge pale Tarime ndiyo maana anayafanya mambo ya hovyo.
Ebu msikilizeni kwanza ndiyo mtajua namaanisha nini.
Hivi huyu ndiye mbunge anategemewa auchambue mchakato wa kubinfsisha bandari kwa manufaa ya taifa?
View attachment 2652640View attachment 2652641
Wewe umemaanisha Nini . Waitara ajibiwe Kwa hojaa na sio kejerii na mbowe ajitokeze akanushe matamshi yakeHuyo ni mwana ccm sasa sijui unamaanisha nini?