rungu kubwa
Member
- Sep 28, 2019
- 11
- 15
mbona una akili ndogo hivi? nikikwambia nikikufira utapaa angani, na wewe utainama ili nikufire?Unajua ukitafakari kwa kina utagundua kua jamaa hakuanza tu ghafla from nowhere na kuanza kuchana hicho kitabu
Ukichimba sana utaweza kubaini kulikua na mabishano kati yake na muislam, ambapo ulizuka mjadala kila mtu akitaka kuonesha dini yake ndio ya kweli.
Sasa kinachoonekana hapo muislam alijinadi kua kuran ni kitabu cha mungu na atakayechana kitabu hicho basi kuna baya litamtokea
Mkristo akaona haiwezekani yani uislamu ndiyo iwe dini ya kweli kwa kigezo hicho
Hapo ndipo huyo mkristo alipotoka kifua mbele na kuchana hicho kitabu ili kumthibitishia kua hakuna lolote litakalotokea kama yeye alivyosema na hicho kitabu si cha mungu
Kiukweli ukitaka kuilinda na kukifanya kitabu chenu kieshimike na hata wa wengine wasiokiamini basi jaribuni kutoa hizo dhana za miujiza ambazo m'mekua mkizijenga juu ya vitabu hivyo.
Ukisema hiki ni kitabu cha mungu na kinapswa kueshimiwa kwa taratibu zake ambazo zimewekwa, inatosha.
Sio "unajua hiki kitabu ukichana unageuka kua zombie mara sijui vampaya" sasa mtu akitafakari anawaza mbona hai-make sense matokeo yake anaamua kuchana ili kuthibitisha kama ni kweli
It's Scars
Sent using Jamii Forums mobile app