safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,161
- 15,839
Kama ambavyo tumekuwa na msimamo tokea zamani wa kutokuidhalilisha bibilia kwa kuichoma moto ama kuikanyaga kanyaga na kuichana chana basi tuendelee na msimamo huo.
Tuendelee kuiheshimu na kutokuikubali kwetu haina maana tuivunjie adabu na kufanya vitendo vya kuamsha hisia kali na watu.
Siku zote anaeanza ugomvi haonekani bali yule anaemaliza ndo huwa anaonekana mgovi.na hii ni kwa sababu kuwa chanzo ni kidogo kuliko matokeo.
Sijajua huwenda waislamu wanaona kuwa kuchana bibilia haisaidii ktu kwani zipo nyingi sana.
Na huwenda wachomao na kuchana Qurani wanaona kuwa watapunguza idadi ya jumla yake.
Au pengine ni ishara ya kuichukia na kuwachukia wafuataji wa jambo hilo.
Yeyote anaekashifu na kuchana vitabu vya imani na kuinua taharuki za watu basi nadhani adhabu tamu itakayomfaa ni kutaka kuchochea uvunjiffu wa amani na utulivu.
Kosa la mmoja tusilipeleke kwa wote,pengine ni john lakini itikadi yake ni sawa na kiranga.
Tudumishe utamaduni wa kuiheshimu bibilia na vitabu vingine,ijapokuwa hutakuja kusikia mtu kajirekodi akiichsna katiba ya Nchi na kuikashifu.
Sent using Jamii Forums mobile app