Dini na siasa hazitenganishwi, kwani zihusu mifumo ya maisha. Ila faith tolerance between variuos religion is inevitable for life to go on. Tatizo lililopo sasa ni la kitaalamu, jinsi ya kutengeneza miundo ya vyama na serikali ili kuondoa hisia na dhana za udini. Unakuta chama kina viongozi wote karibu kutoka dini fulani, hii inaua chama ikiwa kimo katika jamii yenye mchanganyiko wa dini mbalimbali. Hii nimetoa mfano tu. Lazima kuwe na mikakati, hasa kupitia usalama wa umma, kuvisaidia vyama kubalance structures. CCM asilia wanajua mambo haya, sijui vyama vingine vinajua.
Msipokuwa makini mtachakchuliwa na wenye uchu wa madaraka. Ila na kwa usalama wa taifa hili jukumu ni muhimu kwa maslahi ya taifa. Inabidi tutoke huku kwanye mapambano ya udini.
okay nimekusoma wakishaikataa waende chama gani kitakacho watekelezea ahadi zilizohadaiwa na ccm? Umeelezea hoja zako lakini umewaacha njia panda hukuwaeleza chama mbadala kitakachowafaa!
Hoja walizohaidiwa haziwezekani kwa kuwa Tanzania haina dini 'secular state' ile ilikuwa danganya toto, kuhusu chama cha kwenda ni dhahiri kwamba ni uamuzi wao maana vyama vipo zaidi ya 15 Tanzania, maana hatacuf nao ni wale wale tu.Okay nimekusoma wakishaikataa waende chama gani kitakacho watekelezea ahadi zilizohadaiwa na CCM? umeelezea hoja zako lakini umewaacha njia panda hukuwaeleza chama mbadala kitakachowafaa!
Asalam Aleikum waungwana. Leo mimi kama mtanzania mwenye uchungu na watanzania wa dini zote naomba kuchukua nafasi hii kuwashauri ndugu zangu waislamu. ACHANENI NA CCM INAWALOSTISHA. SAbabu ni nyingi ila nawapa hizi chache hapa chini:
CCM imewadanganya kuwa itawapa mahakama ya kadhi na kuiingiza Tanzania kwenye jumuiya ya kiislamu (OIC). Cha kusikitisha ni kwamba hadi leo hii hakuna hata dalili ya debates juu ya swala hilo. Kama wangeona ni muhimu kufanya hayo wangeshafanya. Kama mnabisha angalia walivyolikubali kwa haraka swala la kuilipa DOWANS. Yani hilo swala lilikuwa muhimu mpaka uamuzi wake haukuitaji kikao cha baraza la mawaziri. KWA TAHARIFA TU, priority ya CCM kwa sasa ni kuimaliza CHADEMA. Hilo la mahakama ya kadhi na OIC ni changa la macho.
Pili, CCM inauzalilisha uislamu kwa kuwachaguliwa kionozi wao wa dini. Amini usiamini, ni dini ya kiislamu tu inachaguliwa kiongozi wake (mufti) na CCM kwa kupandikizwa na Usalama wa Taifa (TISS). YAni hata dini ndogondogo Tanzania zipo huru na mkono wa CCM lakini dini kubwa kama uislamu kuchaguliwa wa kuwaongoza ni dharahu zinazopaswa kupingwa waziwazi.
Tatu na mwisho kwa leo, wale walioko CCM wanaojiita waislamu na kuwashawishi si waislamu wa kweli. Niliwahi kuwaeleza kuhusu paper iliyokuwa presented hapa Cambridge University na authority wa dini ya kiislamu (jina kapuni). Yeye alisema hivi, kuna tofauti kubwa kati ya moslem (kama hawa waliopo CCM) na islamists (waislamu wa kweli). Moslem wapo kwa faida ya matumbo yao na wala si kumcha Mungu. Ndio maana Makamba ni moslem, Rostam ni moslem, Kikwete na DOWANS yake no moslems ndio maana hawaogopi Mungu wanaila Tanzania mchanamchana. Mpaka uwe islamist ndio unakuwa musilamu kwelikweli. Sasa nyie ndugu zangu kwanini mnakubali kuendeshwa na Moslems badala ya Islamists? IKATAENI CCM tuijenge nchi mpya kama EGYPT walivyoamua kuondokana na Moslem wao MUBARAK!!!
Haaaa unachekesha kaka mlisha onyesha tangu mwanzo kuwa chadema ni chama cha kanisa ndio maana mlimsimamisha mchungaji agombee.mmekosa ndio mnarudi kutafuta wanachama wa kiislam,tutajiunga baada ya slaa kuoa maa takrab zinaaaaaaaaa
Asalam Aleikum waungwana. Leo mimi kama mtanzania mwenye uchungu na watanzania wa dini zote naomba kuchukua nafasi hii kuwashauri ndugu zangu waislamu. ACHANENI NA CCM INAWALOSTISHA. SAbabu ni nyingi ila nawapa hizi chache hapa chini:
CCM imewadanganya kuwa itawapa mahakama ya kadhi na kuiingiza Tanzania kwenye jumuiya ya kiislamu (OIC). Cha kusikitisha ni kwamba hadi leo hii hakuna hata dalili ya debates juu ya swala hilo. Kama wangeona ni muhimu kufanya hayo wangeshafanya. Kama mnabisha angalia walivyolikubali kwa haraka swala la kuilipa DOWANS. Yani hilo swala lilikuwa muhimu mpaka uamuzi wake haukuitaji kikao cha baraza la mawaziri. KWA TAHARIFA TU, priority ya CCM kwa sasa ni kuimaliza CHADEMA. Hilo la mahakama ya kadhi na OIC ni changa la macho.
Pili, CCM inauzalilisha uislamu kwa kuwachaguliwa kionozi wao wa dini. Amini usiamini, ni dini ya kiislamu tu inachaguliwa kiongozi wake (mufti) na CCM kwa kupandikizwa na Usalama wa Taifa (TISS). YAni hata dini ndogondogo Tanzania zipo huru na mkono wa CCM lakini dini kubwa kama uislamu kuchaguliwa wa kuwaongoza ni dharahu zinazopaswa kupingwa waziwazi.
Tatu na mwisho kwa leo, wale walioko CCM wanaojiita waislamu na kuwashawishi si waislamu wa kweli. Niliwahi kuwaeleza kuhusu paper iliyokuwa presented hapa Cambridge University na authority wa dini ya kiislamu (jina kapuni). Yeye alisema hivi, kuna tofauti kubwa kati ya moslem (kama hawa waliopo CCM) na islamists (waislamu wa kweli). Moslem wapo kwa faida ya matumbo yao na wala si kumcha Mungu. Ndio maana Makamba ni moslem, Rostam ni moslem, Kikwete na DOWANS yake no moslems ndio maana hawaogopi Mungu wanaila Tanzania mchanamchana. Mpaka uwe islamist ndio unakuwa musilamu kwelikweli. Sasa nyie ndugu zangu kwanini mnakubali kuendeshwa na Moslems badala ya Islamists? IKATAENI CCM tuijenge nchi mpya kama EGYPT walivyoamua kuondokana na Moslem wao MUBARAK!!!
mi naona itakuwa nzuri kama waislamu wote muwe CUF na wakristo wote tuwe CHADEMA halafu CCM wabaki mafisadi wote pamoja na wasio na dini halfu vyama vingine vyote vibaki na dini zingine zote, nadhani hii itakuwa bab'kubwa.
this ia crap,garbage,bullshit,...huwezi ukabalance dini kwenye uongozi,uongozi utokane na sifa,..kama wote ni waislam poa au wote ni wakristo poa ili mradi wawe na sifa,...haya mawazo yenu ya kidini mnayapata wapi??