Ndugu hapa pakugu kweli kutoa Maelezo ya Kutosha, kama Waislamu wenyewe ni Kina sheikh Jongo ambae alimlilia Nyerere Hadharani pale Bungeni, TUKAJUA TUMEKWISHA. Masheikh Wachumia Tumbo sijui tuwafanyeje jamani?.
Waislamu unaowajua wewe ni akina nani?.Mimi namjua Shekh Jongo ni Muislamu safi na ni Imamu wa Msikiti wenye waumini wengi maeneo ya Kariakoo.Kama Waislamu wote walioko Bunge la Katiba hawajui umuhimu wa Kadhi basi kuna tatizo kubwa zaidi.