Waislam wenzangu tuwapende wakristo

Waislam wenzangu tuwapende wakristo

Status
Not open for further replies.

Ralphryder

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2011
Posts
5,599
Reaction score
1,798
Ever since the enciet times of our beloved Prophet Muhammad,S.A.W, he taght us to love them, care and respect them, in the Holly Quran: 5:8, "Let NOT the hatred of people incite you to be unjust". Mariam the Mother of Jesus is honored in the Holly Quran as " a woman chosen above the women of all nations," Quran 3:42, So why fighting our fellow Christians? just thinking loud.
 
Hakuna haja ya kujipendekeza kwao wao ndo wanaotuchukia bila sababu yoyote na sasa wamekojolea vitabu vyetu
 
Ever since the enciet times of our beloved Prophet Muhammad,S.A.W, he taght us to love them, care and respect them, in the Holly Quran: 5:8, "Let NOT the hatred of people incite you to be unjust". Mariam the Mother of Jesus is honored in the Holly Quran as " a woman chosen above the women of all nations," Quran 3:42, So why fighting our fellow Christians? just thinking loud.

You have a great point man,tatizo la hawa wapenda vurugu wengi wao hata maandiko hawayajui na wanatumiwa na watu wenye malengo yao kisiasa na kiuchumi.Open your brains Muslims and understand your Holy book..
 
mshafika hadi huku chit chat....khaa!!!
 
Ishafika Time ya kulipiza visasi tu ndio dawa
 
Tatizo kurani imeandikwa kwa kiarabu hawa maamuma hawaelewi,unafikiri biblia ingekuwa kwa kingereza ingekuwaje ?
 
Ever since the enciet times of our beloved Prophet Muhammad,S.A.W, he taght us to love them, care and respect them, in the Holly Quran: 5:8, "Let NOT the hatred of people incite you to be unjust". Mariam the Mother of Jesus is honored in the Holly Quran as " a woman chosen above the women of all nations," Quran 3:42, So why fighting our fellow Christians? just thinking loud.
Umeongea jambo la maana sana, na Muslims hawana tatizo na Christians kwa muda mrefu, mfano mdogo utaupata kwenye hii thread, kwa miaka kadhaa mimi nimekua member JF, nimeshuhudia dharau na kejeli nyingi sana kwa Waislam, na waislam wamekuwa watulivu tu. Sasa kama humu jamvini kwa Wakristo ambao wao wanajiona wamesoma wameshindwa kuwa na heshima na staha kwa dini ya Waislam, itakuwaje kwa wasiosoma? Kinachotokea sasa mitaani ni majibu ya mambo mengi, tusitafute wachawi ni sisi wenyewe! Tumelikoroga miaka mingi sasa tulinywe!
 
Hii dini ya shetani inayoeneza chuki na vita duniani inabidi zitafutwe mbinu za kuiangamiza

HACHA KUKASHIFU DINI ZA WATU WEWE, HUWEZI KUGENERALIZE WKT TWAJUA MAGENGE YA WAHUNI NDO KWA WING YANAHUSIKA NA VURUGU IZI, SIDHANI KM MWISLAM AWEZA KUSHIRIKI KT WIZ WA NAJISI, MIBIA IYO MNAYOKUNYWA KWA WINGi KILA SIKU
 
Hii dini ya shetani inayoeneza chuki na vita duniani inabidi zitafutwe mbinu za kuiangamiza
ww kweli umelewa viloba unaweza kuangamiza Maneno ya Mwenyezi Mungu ktk Qura'n? Uangamize uislamu din el hakk dini yenye mafundisho imara, hicho kitabu unachotaka kiangamizwe yote yalioandikwa humo ni maneno halisi ya Mwenyezi Mungu, Mitume na Manabii woote na baraka zao pamoja na Malaika woote walioandikwa Ktk Bibilia ndio hao hao walioandikwa ktk Qura'n. Sasa unaposema dini ya kiislamu iangamizwe ambapo uislam unafuata Quran na hiki kitabu ndio kimeandikwa Mitume woote wa Mungu na mafundisho yake na amri zake zote katoa Mungu, kwa hio ina maana Mungu ndio aangamizwe duu aisee Pole sana, yaani kwa Kauli yako hii hata km umeitoa ukiwa umelewa lakini ulaaniwe na usithubutu kuleta mzaha ktk mambo yanayo muhusu Muumba Wa Mbingu na Nchi.
 
Kwani wao wanatupenda ?
Mpende akupendae

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Ishafika Time ya kulipiza visasi tu ndio dawa

Kuna hii kauli! Mwoga siku zote huenda KICHEKO!
Hakika nawaambia ya kwamba Sisi Wakristo siyo kwmb ni waoga hata punje!

Mwoga hakika ataenda KICHEKO! Kuweni wapole!
 
Hii dini ya shetani inayoeneza chuki na vita duniani inabidi zitafutwe mbinu za kuiangamiza
hahaaa mtu aliyekojolewa nyuma na mapdri anakuwa na matatizo kweli.Hamna mtu anayeweza kuiangamiza katika dunia hii wangapi wameshindwa,makafiri acheni dhulma
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom