Mtume ﷺ alisema:
"Ole wake mtu anayesema uongo ili kuwachekesha watu. Ole wake! Ole wake!"
(Sunan Abu Dawood, 4990; Tirmidhi, 2315)
2. Mtume ﷺ alisema:
“Muumini anaweza kuwa na sifa yoyote ile, isipokuwa uongo na hiyana.”
(Musnad Ahmad, 5492)
3. Mtume ﷺ alisema:
“Hakika uongo hupelekea uovu, na uovu hupelekea motoni.”
(Sahih Bukhari, 6094; Sahih Muslim, 2607
Waislam tujiepushe na siku hii kwa kusema uongo kwa wengine