Waislam Sri Lanka wanaishi kwa uoga. Jamii huenda ikawatenga baada ya shambulio la makanisa

Cicero

JF-Expert Member
Jan 20, 2016
2,924
3,072
KWA KIFUPI: Waislam nchini Sri Lanka wanaishi kwa uoga wa jamii kuwatenga baada ya kundi la kiislam kukiri kuhusika na mashambulio dhidi ya makanisa yaliyotokea kipindi cha Pasaka.

Misikiti imekuwa kimya na hawatumii tena zile loudspeaker zao kuwaita waumin wao mda wa sala.

Wengi wameacha kwenda kazini na sasa wanajifungia makwao.

Zaidi Soma:

COLOMBO, Sri Lanka — As evidence emerges that Islamist militant groups planned and carried out the Easter Sunday bombings that killed more than 350 people in Sri Lanka, the country’s nervous Muslim communities are scrambling to show they share the nation’s shock and grief.

Mosque leaders have stopped broadcasting prayer calls over loudspeakers to avoid offending mourners. They have put up banners with messages of condolence for the victims. They have met with Catholic Church and police officials, and packed food kits for funeral volunteers.

They also are bracing for a wave of anger and possibly violent retaliation that has begun to emerge. Hateful online messages blaming Muslims for the attacks have evaded the government’s emergency social media ban, and stones have been thrown at several Muslim homes and businesses.
 
Kisasi ni kisasi tu inaweza kulipwa na mtu yeyote yule hata kama hajawahi kukanyaga kanisa maishani.

Hawa watu wanaofanya huu ushetani kwa jina la uislamu ni muda wao sasa kujitafakari kama na wenyewe hawana damu au la. Inavyoonyesha huko tuendako dunia ya wastaarabu haitaendelea kuuvumilia zaidi huu ushetani wao kwani wao sasa wameacha kumtumikia Mungu na badala yake sasa wako kwenye "Payroll" ya shetani. Bure kabisa hawa magaidi.
 
Ugaidi upingwe popote na mcha Mungu yeyote wa kweli.

Hongera kwa kuonesha kiguswa! Hatujui misimamo yao kama wanafurahia au laa! Ila itoshe kusema wameonesha masikitiko yao kwa MTU mwenye kusamehe yatia moyo ila yaisjirudie.
 
Kwani wakristu wamewaambia wanalipiza kisasi? kwenye ukristu hakuna ile mambo ya jino kwa jino. Ukristu una ukipigwa kofi la kushoto geukia na upande wa kulia ulambwe kofi jingine alafu pita hivi...
Hivi kristu ndo nani, waroma mnaabudu miungu bila kujua aisee
 
KWA KIFUPI: Waislam nchini Sri Lanka wanaishi kwa uoga wa jamii kuwatenga baada ya kundi la kiislam kukiri kuhusika na mashambulio dhidi ya makanisa yaliyotokea kipindi cha Pasaka.

Misikiti imekuwa kimya na hawatumii tena zile loudspeaker zao kuwaita waumin wao mda wa sala.

Wengi wameacha kwenda kazini na sasa wanajifungia makwao.

Zaidi Soma:

COLOMBO, Sri Lanka — As evidence emerges that Islamist militant groups planned and carried out the Easter Sunday bombings that killed more than 350 people in Sri Lanka, the country’s nervous Muslim communities are scrambling to show they share the nation’s shock and grief.

Mosque leaders have stopped broadcasting prayer calls over loudspeakers to avoid offending mourners. They have put up banners with messages of condolence for the victims. They have met with Catholic Church and police officials, and packed food kits for funeral volunteers.

They also are bracing for a wave of anger and possibly violent retaliation that has begun to emerge. Hateful online messages blaming Muslims for the attacks have evaded the government’s emergency social media ban, and stones have been thrown at several Muslim homes and businesses.
Kumbuka haya mambo ya Ugaidi yalifanya Uchina kuanza kuwakamata na kuwafungia waislam kwenye re-education camps na wabishi kukatwa vichwa. Kumbuka mynmar hii tabia Yao ilifanya waislam wote wakafukuzwa nchini mwao Kwa tabia zao mbaya . Halafa ujue hawa waislam wa uko Sri Lanka wamepewa hifadhi baada ya kufukuzwa nchini Pakistan. Hawa ni waislam wa Ahmadiya waliofukuzwa Pakistan. Kumbuka hata mymnar wale waislam walihamia kutoka Bangladesh kuja kufanya shuguli za kilimo kipindi cha utawala wa muingereza. Walipoanza kuleta mambo Yao walitolewa nduki mpaka basi tena . Jeshi la mynmar chini ya waziri mkuu Ang syuki lilifakamata Kwa kuwapiga , wanawake na wasichana wanabakwa Kwa staili ya mtungo. Waliobaki walifanikiwa kukimbilia Bangladesh. Ujinga wao sio kwamba watu wengine hawawezi kuchukua hatua.
 
Mtapenda

MKUU, DINI SIO IVYO UNAVYOFKIRIA KWAHIO JESHI LA MAREKANI LINAVYOUWA WATU KILA SIKU TUSEME NDIO KRISTU ALIVYOWATUMA?? NINAVYOELEWA MM UISLAM NI DINI YA AMANI NA HAKUNA DINI INAYORUHUSU KUUWA WATU ILA BAADHI YA WATU WACHACHE SANA WALIOMO NDANI YA DINI NDIO WANAOZICHAFUA DINI KUTOKANA NA CHUKI ZAO KWA WENGINE.
 
Tuombe radhi kwa kutukana

Uislam si Dini ya Kipumbavu
Bali ndani ya Waislam wapo wapumbavu kama walivyo Wakristo,wapo Wapumbavu

Hakuna jamii,ilikamilika na upumbavu
Dini yetu ni ya amani na salama
Na haina sifa ya Upumbavu

Nataraji umeponyokwa tu na vidole na kuandika vibaya

Shukran Chief
Uislam ni dini ya kipumbavu sanaa..ukiipokea vibaya kuuwa watu ni sekunde chache tuu na bila sababu ya msingi...

Na ukristo nao ukiupokea vibaya unakua zuzu kama zezeta flani hivi....

Hizi dini zote zinahubiri kufanya yaliyo mema ili kumpendeza Mungu na lengo ukaonje pepo..

TATIZO LINAKUJA NAMNA DINI ULIVYO IPOKEA.. ISLAMIC NDIO HIVYO MWISHOE UNAUWA WATU..
 
Kwa kweli wajitahidi kujitenga nao hawa jamaa Hakuna dini iliyozidi katika kukata watu makoromeo kama ndg zetu waislam na kujilipua ili wengi wafe. Yote haya 2018 - 2019. Ukiwauliza wanakwambia jeshi la USA wakristu wanaua saana waislamu.
 
Ukirisro ndio chanzo cha Ugaidi, wanaamini eti kuziingilia nchi za kiislamu na kuuwa ndio njia za kuusambaratisha Uislam, lakini hapo hapo wanatoa silaha kwa kufadhili makundi na wanatumia hela nyingi kuwagawa watu, sera zenu kama hamjazibadilisha na Ugaidi wenu mtauwa watu wengi sana wasiokua na hatia
Marekani anafanya vita vya kisiasa na kiuchumi, sio za kidini, ndio maana mwisho wa siku lazima waakeze katika Nchi husika, Baada ya Kuondoa utawala uliopinga maswala yao ya uwekezaji.

Hawaingii msikitini na kuwauwa waslam bali huondoa utawala husika Kwa kuwatumia wazawa.

Lakini nyie waslam vita vyenu, vimekaa kimaskini na kichawi.. Mara kujitoa muhanga, nakujiuwa na kuwauwa watu wasio na hatia, mara muvamie ndani ya makanisa, mara mahotelini na kwenye mikusanyiko ya watu mfano Al-baabu kenya.
 
Back
Top Bottom