Waislam Sri Lanka wanaishi kwa uoga. Jamii huenda ikawatenga baada ya shambulio la makanisa

Cicero

Cicero

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2016
Messages
2,706
Points
2,000
Cicero

Cicero

JF-Expert Member
Joined Jan 20, 2016
2,706 2,000
KWA KIFUPI: Waislam nchini Sri Lanka wanaishi kwa uoga wa jamii kuwatenga baada ya kundi la kiislam kukiri kuhusika na mashambulio dhidi ya makanisa yaliyotokea kipindi cha Pasaka.

Misikiti imekuwa kimya na hawatumii tena zile loudspeaker zao kuwaita waumin wao mda wa sala.

Wengi wameacha kwenda kazini na sasa wanajifungia makwao.

Zaidi Soma:

COLOMBO, Sri Lanka — As evidence emerges that Islamist militant groups planned and carried out the Easter Sunday bombings that killed more than 350 people in Sri Lanka, the country’s nervous Muslim communities are scrambling to show they share the nation’s shock and grief.

Mosque leaders have stopped broadcasting prayer calls over loudspeakers to avoid offending mourners. They have put up banners with messages of condolence for the victims. They have met with Catholic Church and police officials, and packed food kits for funeral volunteers.

They also are bracing for a wave of anger and possibly violent retaliation that has begun to emerge. Hateful online messages blaming Muslims for the attacks have evaded the government’s emergency social media ban, and stones have been thrown at several Muslim homes and businesses.
 
Kamwene

Kamwene

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2016
Messages
1,143
Points
2,000
Age
21
Kamwene

Kamwene

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2016
1,143 2,000
Wako wachache sana lakini hata kabla ya ugaidi wa kujilipua makanisani Waislam Sri Lanka walikuwa na fujo sana. Walilazimisha watu wasilimu na wabadili dini zao. Walibomoa sanamu za budha.

Lakini sasa wanaishi kwa hofu shida na huzuni. Hawajichanganyi nje na biashara zao haziendi watu wamewasusia hata kwenye maduka yao.

Sasa hivi baada ya kujilipua makanisani pasaka yeyote ambaye anamidevu ama amevaa vipedo na ambaye ana sigda kale kaalama keusi pajini ajichanganye mtaani yani ananyukwa makwenzi ya hatarii ama kuzabwa vibao lukuki na kutemewa mate.
Watu sasa wanawaelewa raia Myanmar walivyochukua sheria mkononi kuwafukuza.
Sasa point yako hapa ni nn? Kwamba unafurahia mateso ya wengine (waislamu) ama? Be specific
 
K

Kikwajuni One

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2013
Messages
8,552
Points
2,000
K

Kikwajuni One

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2013
8,552 2,000
KWA KIFUPI: Waislam nchini Sri Lanka wanaishi kwa uoga wa jamii kuwatenga baada ya kundi la kiislam kukiri kuhusika na mashambulio dhidi ya makanisa yaliyotokea kipindi cha Pasaka.

Misikiti imekuwa kimya na hawatumii tena zile loudspeaker zao kuwaita waumin wao mda wa sala.

Wengi wameacha kwenda kazini na sasa wanajifungia makwao.

Zaidi Soma:

COLOMBO, Sri Lanka — As evidence emerges that Islamist militant groups planned and carried out the Easter Sunday bombings that killed more than 350 people in Sri Lanka, the country’s nervous Muslim communities are scrambling to show they share the nation’s shock and grief.

Mosque leaders have stopped broadcasting prayer calls over loudspeakers to avoid offending mourners. They have put up banners with messages of condolence for the victims. They have met with Catholic Church and police officials, and packed food kits for funeral volunteers.

They also are bracing for a wave of anger and possibly violent retaliation that has begun to emerge. Hateful online messages blaming Muslims for the attacks have evaded the government’s emergency social media ban, and stones have been thrown at several Muslim homes and businesses.
Waislamu waliuliwa miskitini,Uholanzi na mkristo,lakini Waislamu walioko uholanzi hawakulipiza kisasi kwa mkristo mwingine yoyote,waliacha mamlaka za kisheria,zifanye kazi yake.Hii ndio inadhihirisha dini ya kiislamu ni ya amani.Wana uhakika gani kama waliouwa makanisani ni waislamu,huwenda wakawa ni waasi wa Tamil tiger,wakajitangaza uongo kama waliolipua ni Waislamu,kwa nini kusifanyike uchunguzi wa kutosha.Hii ndio inadhihirisha kama wanaofanya ugaidi sio waislamu,ila wakishafanya wanajitangaza kama ni waislamu.
 
mashoodjr

mashoodjr

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2016
Messages
2,091
Points
2,000
mashoodjr

mashoodjr

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2016
2,091 2,000
Miafrica Kama kawaida kutete dini zisizokuwa na maana kwenye jamii ya kiafrika.
 
M

Mfiaukweli

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2018
Messages
2,449
Points
2,000
M

Mfiaukweli

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2018
2,449 2,000
Niliwahi kuwaambia
Kuna wakati mnajitoa akili au sijui niseme vipi

Kwakuwa hamjasoma
Bali mnajisomesha wenyewe kwa wenyewe
Sitaki kushangaa sana nukuu zenu

Labda nikusaidie kijana

Aya uliyoituma,ni aya inayozungumzia VITA

Na sura nzima hiyo,ni sura ya VITA

Ndani ya Quraan,kuna aya zinazozungumzia Vita
na kuna aya zinazozungumzia wakati wa amani

Mfano mdogo tu
Ndani ya Sura hiyohiyo
kuna aya zinazozungumzia wasiokuwa Waislam,ambao wanapenda amani,Basi tunatakiwa tuwape amani na usalama
na wala aziguswe hata kucha

Zimekuja Hoja mbalimbali
Juu ya Muislam atakaeua asiekuwa Muislam bila ya sababu ya msingi
Basi hana Pepo ya Allah na sio Pepo tu
Bali hata harufu ya Pepo hatoipata

Fahamu hili Chief

Ubarikiwe sana
Danganya wasiosoma maandiko yenu. Mtume wenu alitangaza kuwa "ameamrishwa na Allah kupigana hadi kuhakikisha hakuna dini nyingine isipokuwa uislamu".
 
Abuu Dharr

Abuu Dharr

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2017
Messages
1,513
Points
2,000
Abuu Dharr

Abuu Dharr

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2017
1,513 2,000
mfano

Maana usije kuwa uzushi unauleta ww

Naomba utoe maelezo ya kukinaisha
Tatizo ni uzushi kuwa uislamu unahimiza waumini wake kuishi na watu wa imani zingine kwa amani.
 
M

Mfiaukweli

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2018
Messages
2,449
Points
2,000
M

Mfiaukweli

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2018
2,449 2,000
mfano

Maana usije kuwa uzushi unauleta ww

Naomba utoe maelezo ya kukinaisha
Nimekupa mfano na wewe ukauliza "tatizo nini". Which means the following:
1. Ulikubaliana na nilichokiandika kutoa mfano,
na
2. Hukuona tatizo lolote kwenye mfano niliotoa.
 
Abuu Dharr

Abuu Dharr

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2017
Messages
1,513
Points
2,000
Abuu Dharr

Abuu Dharr

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2017
1,513 2,000
Chief
Mm nilitaka unithibitishie Kimaanindishi,na si kusema utakavyo

Labda kwa ufupi tu

Dini yetu,inatutaka tuwe watu wa amani,kipindi ambacho,tunapatiwa amani

Na ikiwa hatupatiwi amani,na nguvu tunazo za kutafuta amani,Basi hakuna mtu wa kutuzuia katika hili

Ila misingi mikuu ya Uislam
Ni amani ya kweli

Labda uwe mfiauongo
Nimekupa mfano na wewe ukauliza "tatizo nini". Which means the following:
1. Ulikubaliana na nilichokiandika kutoa mfano,
na
2. Hukuona tatizo lolote kwenye mfano niliotoa.
 
Forum statistics

Threads 1,296,486
Members 498,655
Posts 31,249,886
Top