Waislam ni daraja la pili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waislam ni daraja la pili

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by rosemarie, Oct 27, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  sauti ya ujerumani wanajadili machafuko ya kidini Tanzania
  Kuna jamaa kutoka zanzibar anasema waislam wamefanywa daraja la pili'anaendelea kusema waislam walitaka kuanzisha chuo kikuu cha kwanza tanzania wakanyimwa fursa hiyo
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  sasa wewe yoote yaliyozungumzwa hayakukuvutia
  ila hili la 'daraja la pili' limekufurahisha mno naona...
   
 3. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  la kwanza ni kina nani sasa??
   
 4. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Haya ni maoni ya huyo wa znz, na wewe unasemaje sasa??
   
 5. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #5
  Oct 27, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  .........alisema wanachezea ligi gani !? .:confused2:.........Vodacom, Zantel au ya Kilimanjaro Lager ?
   
 6. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #6
  Oct 27, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Wewe umesikia hilo tu?

  Mbona kuna aliyesema wazi waislamu wanatakiwa watafute elimu kwanza kwa sababu ukiwa na elimu hautakuwa na jazba,utatafuta njia sahihi ya kuwasilisha malalamiko yako katika serikali kama chombo cha mabavu, utatafakari mafundisho ya mtume alipozungumzia kuitafuta elimu na mwisho kwamba uislamu ni dini ya amani.

  Kwa kweli nimempenda sana mchangiaji huyu mwisilam haswaa.
   
 7. a

  adolay JF-Expert Member

  #7
  Oct 27, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 7,567
  Likes Received: 3,026
  Trophy Points: 280
  Huo ndiyo unyonge wenyewe akili kama za Ponda na Farrid

  - Nini kimewakwamisha mpaka leo hii hawajajenga? maeneo yapo, waalimu wapo, wanafunzi wapo tatizo nini? - kupenda vya bure na kulalama.

  -Mohamedi said na mfumo kristo, kama kalaaniwa vile, sielewi umri wake nahisi umekwenda sana na bado elimu yake ipo miaaka ya 40 na hamsini.

  Rais wa kwanza - mkristo

  Rais wa pili - Mwislam

  Rais wa tatu - mkristo

  Rais wa nne - Mwislamu

  Ratio = 4/4 ie 1:1 mfumo kristo sijui uko wapi waungwana????

  Mwenyemamlaka ya mwisho kabisa ni amirijeshi mkuu kwetu tanzania ni Rais, Kwa ratio hiyo ya 1:1 kwanini wenzie na mohamedi wasitumie mamlaka hayo kufutilia mbali mfumo kristo kama upo? Nadharia ya uwongo na kufikirika ambayo haipo.

  Waislamu kufanywa daraja la pili - huyohuyo Mohamed Said

  Rais - Mrisho Kikwete Mwislamu

  Makamu wa Rais - Ghalb Bilali Mwislam

  Jaji mkuu- Omari chande Mwislam

  IGP - Said Mwema Mwislamu

  Kanda maalum Mkuu wa polis - Sulueman Kova mwislamu

  Uwakilishi Kimataifa
  UN Asha roz migiro - Mwislam

  Salim ahmed salimu UN na OAU enzi zake miaka nenda rudi Mwislamu


  Watu kama mohedi Said ni sumu kwa taifa kama Tanzania wanachochea chuki za kidini bila sababu ya msingi, huyu mzee hana tofauti na akina Ponda na Farrid nakama walienda hidja basi nadhani hazijawasaidia maana wanachohubiri ni uwongo nakutuchonganisha watanzania tuliozoea kuishi kwa amani na upendo bila kujali tofauti zetu za kiimani.
   
 8. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #8
  Oct 27, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Hawa wenzetu shule imewapita kando! wanajali elimu Akhera!
   
 9. a

  adolay JF-Expert Member

  #9
  Oct 27, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 7,567
  Likes Received: 3,026
  Trophy Points: 280

  Hata mimi huyu unayemsema amenisafisha rohoni kwangu, aliamua kuacha unafiki akasema ukweli kwamba utaipataje haki bila elimu. Amesema mengi mazuri lakin Mohamed Said hapana alichafua mjadala.
   
 10. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #10
  Oct 27, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,273
  Trophy Points: 280
  Kaswende ya Ubongo mbaya sana.
   
 11. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #11
  Oct 27, 2012
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 2,165
  Likes Received: 1,124
  Trophy Points: 280
  -Chuo Kikuu ca Kiislam Morogoro- free of charge
  -Plot pale Kibasila ilikusudiwa kuwa Chuo Kikuu kingine cha kiislam-mmezurumiana wenyewe kwa wenyewe
  -Al-Harmain mnaiita Islamic College lakini ni kama Shule ya Sekondari ya Kata...imekuwa situated sehemu nzuri sana kibiashara ya elimu lakini niki-compare enzi zilee nasoma tuition ya mwalimu Biology ya mwalimu Mzeru na sasa ni kama imerudi nyuma. Wapeni wakatoliki muone.
  -mngeandaa kongamano la kitaifa na kupanga mikakati kwamba ni marufuku kulalama kuonewa bali tunataka mikakati positive nini kifanyike msonge mbele bila kutegemea msaada mkuuubwa wa serikali hakika mngefika mbali sana instead kulalama kila siku na hamna anayetoa suggestion ya 'the way forward'.
   
 12. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #12
  Oct 27, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mnaonaje tupendekeze kwenye mjadala wa katiba wawe wanateuliwa tu badala ya kugombea?labda uwezo ni mdogo.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...