Waingereza wachapia Kiingereza!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811

Hili ni tangazo la ktk Serikali ya Uingereza lililoandikwa kwa Kiingereza, kumbe nao lugha yao wenyewe inawatatiza, kumbe kuna vilaza kila mahali kama Bongo tu, Duh!

Language_3556167b.jpg
 
ni language si langauage
HIYO SIYO GRAMMATICAL ERROR BALI NI TYPING ERROR AMBAPO HATA MBONGO ANAWEZA CHAPIA KUANDIKA

KUNA MTU MMOJA ALIMWANDIKIA MWENZIE "NIJE NICHUKUE MAVI?" KUMBE ALIKOSEA KU TYPE ALITAKA KUANDIKA "NIJE NICHUKUE MAJI"
 
Hili ni tangazo la ktk Serikali ya Uingereza lililoandikwa kwa Kiingereza, kumbe nao lugha yao wenyewe inawatatiza, kumbe kuna vilaza kila mahali kama Bongo tu, Duh!

Language_3556167b.jpg

Siyo ajabu mbona hata vilaza wa Kiswahili wapo wengi!
 
Hapo sio muingereza alieandika bali ni wakimbizi wanao omba kazi ya ukalimani wakati wao wenyewe hawajui lugha vizuri
 
Lugha haina mwenyewe. Richard Mabala anatuacha mbali kwenye Kiswahili watanzania tulio wengi.
 
Hili ni tangazo la ktk Serikali ya Uingereza lililoandikwa kwa Kiingereza, kumbe nao lugha yao wenyewe inawatatiza, kumbe kuna vilaza kila mahali kama Bongo tu, Duh!

Language_3556167b.jpg
Unashangaa hilo wakati inajulikana wazi kuwa vichaa wa uingereza wanaongea kiingereza fasaha kuliko watanzania wengi sanaa..!!
 
Back
Top Bottom