Waingereza kwa ulevi ni kufuru!

masopakyindi

Platinum Member
Jul 5, 2011
18,173
13,776
upload_2016-1-5_9-0-57.png

Waingreza kwa ulevi ni kiboko!!
Hii binge drinking ni kama wamelogwa!
Tazama askari wakimdhibiti mlevi barabarani wakati mwingine kalala kati kati ya barabara na glasi yake ya ulabu, akienjoy maisha!!!!
Na huku magari yakijizuia na kumpisha.
 
Hata bongo wapo, hujaenda mbagala kwenye wanzuki na komoni, umkute mtu kadinda road, aaahhh utapenda
 
Pombe ikikolea kwanza hafagiliwi mtu ...

Hata ukiwa kama fidodido utajiona bonge la mtu ...

Pombe, poombe, ikikolea inakuwa noma ...
Pombe, poombe, ikikolea inakuwa sooo ...
 
wangekua bongo hao waangukie huku kwetu kitakachowakuta sijui kama watarudia ila kama wakirudia jua walifurahia
 
View attachment 314949
Waingreza kwa ulevi ni kiboko!!
Hii binge drinking ni kama wamelogwa!
Tazama askari wakimdhibiti mlevi barabarani wakati mwingine kalala kati kati ya barabara na glasi yake ya ulabu, akienjoy maisha!!!!
Na huku magari yakijizuia na kumpisha.


Hiyo ni ishara ya watu wenye matatizo mengi ya kimaisha!
 
Back
Top Bottom