waijua takrima wewe?


MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,028
Likes
5,490
Points
280
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,028 5,490 280
ccm nambari wani, chama gani kina pesa ya kuwalisha wananchi wake msosi havi namna hiyo.. "naipenda" bure ccm....
Mkisha lishwa ubwabwa ndio mnawapigia kura viongozi wenu wazidi kuwatala na nyinyi muzii kuwa masikini, Kasheshe kweli Wa-Danganyika.@Baba V
 
Philip Dominick

Philip Dominick

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2013
Messages
1,022
Likes
4
Points
135
Philip Dominick

Philip Dominick

JF-Expert Member
Joined May 26, 2013
1,022 4 135
Mkisha lishwa ubwabwa ndio mnawapigia kura viongozi wenu wazidi kuwatala na nyinyi muzii kuwa masikini, Kasheshe kweli Wa-Danganyika.@Baba V
hko cha kula cdhan kama kina thamani ya miaka mi5
 
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,028
Likes
5,490
Points
280
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,028 5,490 280
hko cha kula cdhan kama kina thamani ya miaka mi5
Hata kama hakina thamani ya miaka 5 ndio kampeni za viongozi wenu kupata uongozi lazima mupewe vijisenti kidogo na Ubwabawa ukitaka kuwatawala watu uwafanye wawe wajinga kwa kuwapa vijizawadi uchwara basi utawatala maisha philip dominick


 
Last edited by a moderator:
kabanga

kabanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Messages
32,031
Likes
5,346
Points
280
kabanga

kabanga

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2011
32,031 5,346 280
si dhani kama takrima, viongozi wameona kuwa watu wao wana njaa wale kwanza kisha waendelee na mazungumzo ya kumwaga sera.... CCM hoyeeee
 
englibertm

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Messages
9,257
Likes
1,966
Points
280
englibertm

englibertm

JF-Expert Member
Joined May 1, 2009
9,257 1,966 280
huipendi bure unaipenda sababu ya takrima
 

Forum statistics

Threads 1,274,531
Members 490,721
Posts 30,515,452