waijua copacabana wewe?

Basi mie nilijua ile ya tabata baracuda mkuu.....
 
usiombe kwenda huko na pesa mfukoni utarudi mweupe
uliza baharia yeyote yule aliyefika huko atakupa taarifa yake
 
nikisikia copacabana nakumbuka sonyericsson yangu ya kwanza kabisa kutumia ilikuwa na mlio huu
 
huko hakuna vibaka wa kukutesa huwa unazitowa mwenyewe kwa service utakayopewa
samahani Mwanangu hapa ninazungumzia kwa wanaume

Mie ata sijaelewa....una maanisha watu wakarimu eeeehπŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„
 
Tinna cute
Huna haja ya kupewa story nimekupa tahadhari kama unataka kuhakikisha nenda mwenyewe uone halafu uje humu ulete story
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…