Waigizaji bora wa muda wote India

List ni ya mchongo. Unaanzaje kuwaweka Ranbir na Hrithik kwenye top 10? Kijana unawaelewa Saif Ali Khan na Sanjay Dutt?
Kajol anafanya nini hapo? Umewahi wasikia Sridevi, Madhuri, Tabu, Urmila Matondkar, Rani?
Tabu namkubali sana huyu mama kwa jinsi anavyoweza kucheza uhusika wowote kwenye movies kitu anachowazid wanawake wengi Bollywood, Madhuri Dixit siwez sahau uwezo wa huyu mama pamoja na rani mukherjee, nawaelewa sio kuwajua tuu!!
RIP SRIDEV

kiukweli ni mafundi lakini imekuwa changamoto kuingia kwenye ile list ya kufa na kupona
 
Weka SRK namba moja kwanza halafu tuongee mengine
Ndiyo SRK ni namba moja duniani. He is the richest bollywood star na ana followers zaidi ya billion moja duniani kama sikosei. Yeye ni megastar hao wengine bado hawajamfikia.

Pia ana movie yake DDLJ ilikuwa released 1995 lakini mpaka leo inaonyeshwa kwenye theater moja India (imekamata rekodi ya dunia).

Salman Khan yeye ndiye maarufu kwa India akifuatiwa na Amir Khan. Amir Khan yeye amekamata namba moja China tu.
 
Dah hiyo ni movie yng pendwa..ongezea DEVDAS na KABHI ALVIDA NA KEHNA..
 
Admire Khan si ndo yule dogo aliyecheza kama Rancho kwenye three idiots??
Yupo vizuri sana.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
(Bora wa muda wote) unajua maana ya hili neno kweli au umetuorodheshea actor maarufu unao wajua wew
 
Aamir Khan ni Hollywood material yule. Ni design ya waigizaji kama Daniel Day Lewis. Anajua kuuvaa uhusika haswa.

SRK ana vitu vyake naye, ila ni pure Bollywood material na nyota yake iko juu sana ila roles zake nyingi, japo sio zote, zina tendency ya kufanana.

Amitabh Bachchan, an angry young man, sina la kusema... anajua sana huyu mzee!

Halafu list yako imeangalia leading actors tu. Kuna character actors wengi wako vizuri tu. Mf. Amrish Puri, Kay Kay Menon.

Kuna Nawazuddin Siddiqui, huyu alianza kama character actor ila amekuja juu kiasi cha kupewa leading acts japo hana connection ya undugu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…