martial jb
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 864
- 1,464
Sio sunny deol, sio kaka yake Bobby deol wala baba yao dharmendra. Hawawezi ingia kwenye list hii ya malegendary wa kuigiza indiaWhere's the [emoji238][emoji238][emoji238] Sunny Deol
Nadhani bado ww sio mfuatiliaji mzuri wa Indian movies kama hiyo ndiyo top 10 yako bora ya muda wote kaa chini upya uanze kuziangalia tenaHabari wapendwa,
Leo nimekuja upande huu kwa ndugu zangu wafuatiliaji wa Bollywood au tasnia ya sinema india.
Nimekuja na list ya mastaa bora wa filamu kwa muda wote pale india kaskazini, ambapo orodha hii itaenda kuongozwa na kichwa chao au kamanda wao; Aamir Khan (Mr. Perfectionism).
Najua maswali yatakuwa ni mengi yakiuliza kwa nini Aamir, ila kwa wanao fuatilia vizuri hii tasnia ya filamu India watajua nini namaanisha tukianza kuangalia vigongo vyake yule mzee kama; Iagaan, Three Idiots, Ghajin, Dangal, Fanaa, PK etc. Basi twende moja kwa moja kwenye orodha;
1. Aamir Khan
2. Shah Rukh Khan
3. Amitabh Bacchan
4. Dilip Kumar
5. kamal Hassan
6. Guru Dutt
7. Kajol
8. Hrithik Roshan
9. Ranbir Kapoor
10. Salman Khan
Bollywood forever!
Hao jamaaa niliorodhesha hapo juu, wote wamechangia kwa kiasi kikibwa Bollywood kupaa kimataifa, mbali na hivyo kazi zao zimekimbiza sana katika mauzo sokoni ukiachana na awards mbalimbali walizobeba especially film fair awardsKwann hawawez kuingia
Hahaha!! Hafui dafu kwa aamir, uigizaji wa srk ni local sana ukimfananisha na aamir khan, kinachofanya srk aonekane juu ni kuigiza muvi nyingi ambazo asilimia kubwa maudhui yake ni mapenzi, tofauti na aamir alieweza kutoboa kwa muvi chache ambazo zote ni vigongoWeka SRK namba moja kwanza halafu tuongee mengine
Mithun anakosekana vipi katika orodha hii..?.Habari wapendwa,
Leo nimekuja upande huu kwa ndugu zangu wafuatiliaji wa Bollywood au tasnia ya sinema india.
Nimekuja na list ya mastaa bora wa filamu kwa muda wote pale india kaskazini, ambapo orodha hii itaenda kuongozwa na kichwa chao au kamanda wao; Aamir Khan (Mr. Perfectionism).
Najua maswali yatakuwa ni mengi yakiuliza kwa nini Aamir, ila kwa wanao fuatilia vizuri hii tasnia ya filamu India watajua nini namaanisha tukianza kuangalia vigongo vyake yule mzee kama; Iagaan, Three Idiots, Ghajin, Dangal, Fanaa, PK etc. Basi twende moja kwa moja kwenye orodha;
1. Aamir Khan
2. Shah Rukh Khan
3. Amitabh Bacchan
4. Dilip Kumar
5. kamal Hassan
6. Guru Dutt
7. Kajol
8. Hrithik Roshan
9. Ranbir Kapoor
10. Salman Khan
Bollywood forever!
Tukitaka kumuweka mithoon tujiulize tunamtoa nani katika hiyo list ya kutishaMithun anakosekana vipi katika orodha hii..?.
Ni sawa wakongwe na mafundi, ila wengi wao hawakuwa wahusika wakuu kitu kinachopunguza max, na pia huwezi fananisha uigizaji wa hawa jamaa na wale wa pale juu, u must be jokeAmrish puri
Jackie shrof
Om puri
Glushan glova
Mituni Chakraborty
Danny denzongpa
Hebu niambae nani mwingine alipaswa aingie kwenye hiyo list na hakuingia, halaf untajie hao unaotaka kuwaingiza ni kwambie kwa nini hawaingii kwenye list hii ya kibabeNadhani bado ww sio mfuatiliaji mzuri wa Indian movies kama hiyo ndiyo top 10 yako bora ya muda wote kaa chini upya uanze kuziangalia tena
Sent from my TA-1053 using JamiiForums mobile app
How!!??, hahah!! Dot com wa juzi??!! Kivp broh!!?? Aamir na srk na salman wameanza kuigiza miaka ya 1990's, sikwambii wakina kamal hassan, amitabh bacchan na guru dutt wameanza kuigiza wakat wakina srk ni wadogo na bad unasem I'm dot com wa juziUmeandika kichekesho,kafanye research tena,halafu unaonekana ni .com wa juzi tu.
Tumuweke no 1 moja kwa lipi?Hauwezi kuwa serious Shah rukh khan namba mbili [emoji848]
Huo mstari wako wa chini acha kukariri,nipo mbele napiga box,hiyo tozonia inakuhusu wewe.How!!??, hahah!! Dot com wa juzi??!! Kivp broh!!?? Aamir na srk na salman wameanza kuigiza miaka ya 1990's, sikwambii wakina kamal hassan, amitabh bacchan na guru dutt wameanza kuigiza wakat wakina srk ni wadogo na bad unasem I'm dot com wa juzi
Kweli tozonia changamoto
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji123][emoji123], pamoja sana mkuuHuo mstari wako wa chini acha kukariri,nipo mbele napiga box,hiyo tozonia inakuhusu wewe.