Waifu kajanjaruka!!!

vitu vingine watakiwa uviache km vilivyo ukivichokonoa utakoma mwenyewe
me kwa ukweli huwa sipendi karaha na simu ya mtu wala kudai password ya email au fb
staki kuupa moyo wangu ugonjwa

Akiomba ya kwako utampa?
 
Enhe ikawaje...:a s 39::a s 39::a s 39:
 
Kakakaka kakaaaa, post gani ambazo wewe zinakutia mashak, nina wasiwasi na huko inbox kwako mkuu! teh teh.

sina tatizo kabisa na inbox mkuu na wala sijawahi kutongoza kabisa humu jf coz am here 4 fun,hebu imagine kuna post yangu moja nimeeleza jinsi nilivyotoka na baba mkwe wangu afu akanisakizia mzigo.sasa akiiona si atanigeukia?au ile kuwa kuna siku niligombana nae nikaamua kwenda sudani kwa wahaya but nilishindwa kuduu.sasa akiiona si ndo atanichenjia?
 
kazi ndogo hiyo fungua account nyingine mpe mwambie ya kwake that all!!!!!!!!!!! hataki afunue mwenyewe
 

ngoja nikufundishe uongo:::: mwambie ulikuwa na account lakini imefungwa okey now fungua nyingine mwambe hiyo ni mpya na mwambie ulivyoomba nikakufungulia kwa ajili yako na wewe huwa jf nin kusoma na wala si kucoment................. lakini duu si issue kabisa kutoa iyo kitu utajichinjia baharini mwenyewe
 
Haya majina haya, usikute mkeo ndio Heaven on Earth, mbona kazi unayo! Halafu sitashangaa mara baada ya huu uzi ukakuta PM za kutosha kutoka kwa wadada/wamama ili tu wakuharibie, kila wife akiingia kwa acc yako, anakutana na privent message, ndio mwanzo wa kuvunja ndoa huo kaka!
 
Ha ha ha unajua nashangaa sana unamdharau mtu mzima mwenzio mwenye meno 32...Inawezekana siku zote alikuwa anakuchora tu!!
 
Mbona hii ni simple tengeneza ID nyingine then umpatie akikuuliza mbona sioni comment zako mwambie kuwa unaingiaga tu kusoma habari mbalimbali, ukimaliza mpige busu la kimahaba mchezo umeisha
 

privent message????
 

Sala ya kuombea chupi ya mke baada ya kuinunua: Naiombea chupi ya mke wangu, naitakasa kwa damu yako baba, anapotoka ktk nyumba hii ivaliwe hapa na ivuliwe hapa tu, kama ataivua sehemu nyingine tofauti na nyumbani kwangu baba iwe kwa ajili ya kunya au kukojoa, naikabidhi ikiwa safi. Kama atavua kinyume na niliyosema basi Baba ---- yake ikapigwe UPOFU! Lisionekane tundu linalotafutwa. Eeemennnnnnn..
 
Mme wangu kumbe unatumia hii username? Alafu mbona unaleta mambo yetu hukuuuu...? Tabia gani hii
 
Hii sala ni komesha kwa wanawake wazinzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…