Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,707
- 128,308
Yaani katumia akili kubwa mno.Michelle amekaba penalty.
Refa kaenda kucheck VAR amebadili maamuzi.
Imependeza aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani katumia akili kubwa mno.Michelle amekaba penalty.
Refa kaenda kucheck VAR amebadili maamuzi.
Imependeza aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani katumia akili kubwa mno.
Katika upaparazi hakuna tukio.lisilo.na maana unatakiwa upige picha nyingi uwezavyo! Katika tukio hili kama ulipiga picha 1 au 2 huwezi kupata uhondo wa habri hii!Hahahahaha ni ukwelii au watu mmeunganisha matukio tuu...
Nyapu bdo fimbo ya kupigia wanaumeBongo unashtuka tu usiku hupewi nyapu
Wanawake wa Tanzania wanaamini katika hiloNyapu bdo fimbo ya kupigia wanaume
Aliyekudanganya ni nani, wanaume wana wivu mbaya sana, fuatilia utaniambiaAiseeeeeeeeeeeee.
Katika mapenzi bhana mwanamke anakuwa na wivu mara nyingi zaidi ya mumewe.
Na wanawake wengi wakiona mume anashobokewa na wanawake basi huzidisha mahabbah mana wanajua kwamba kinatakiwa na wengii.
Ndo pale ukirudi hukuuliza "ulipitia wapi mbona uchelewe hivyoo"?
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha.. sisi wanaume Ni DHAHIFU (ila sio spika)Waifu iz waifu tu ila kwetu sisi wanaume kula kwa macho ni haki, hata uwe rais kama hawa hapa, Barrack Obama na Nicholas Sarkozy(Ufaransa).![]()
Naam, Michelle anajua kazi yake vizuri.Obama was loosing himself ktk msiba kama sikosei so she came in to fix him...that's why people get married...get person who can fix you whenever necessary
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo