Mtalingolo
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 2,181
- 410
tunapendana sana na waifu,tumetoka mbali na tumefanikiwa kupata watoto wawili.lakini waifu ananikaba sana,hataki kabisa niwe natoka,hata function za kazini huwa hataki niende.function za funga mwaka etc za kazini hataki kabisa niende,nikilazimisha utamkuta ananuna huyo hata kwa siku tatu na kubaki kulia tu,anadai eti kama nampenda nitamuachaje peke yake ndani.mbaya zaidi mi napenda sana mpira,basi hata kwenda kuangalia mechi ni tatizo.atakwambia huu ni muda wa kupumzika na kuwa karibu yake,nitaendaje kwenye mpira?mpira uwe mchana au usiku ananibana.kazini unaweza kupokea simu zake 3 ndani ya dk 20.wakati mwingine huwa nakaushia afu baadae namwambia nilikuwa bize.
wanamme wenzangu hebu niambieni,hivi hii ni hali ya kawaida kwenye ndoa au yangu imekuwa too much?
cc:akina dada wote mlioolewa na wale mnaotegemea kuolewa.
Huyo mkeo kaa nae mueleweshe, halafu uwe unatoka nae kwenda huko kwenye mpira nk, itafikia mahala atachoka mwenyewe. Anadhani kwamba huko unapoenda pengine kuna demu unaweza mpata au unaye. Mwelimishe. Halafu wakati mwingine amua tu kutokane, mpate drinks pampoja halaf mnarudi hm. Vilevile unaweza kutaoka nae pamoja na rafiki zako, na uendeleze hiyo, kuna wakati yeye mwenyewe atakwambia "nimechoka", "sijisikii" nk. Sasa hivi anakustukia, hakuamini sana ingawa anakupenda. Anadhani kuna mademu wanaweza kukupagaisha..... ukamsaliti.tunapendana sana na waifu,tumetoka mbali na tumefanikiwa kupata watoto wawili.lakini waifu ananikaba sana,hataki kabisa niwe natoka,hata function za kazini huwa hataki niende.function za funga mwaka etc za kazini hataki kabisa niende,nikilazimisha utamkuta ananuna huyo hata kwa siku tatu na kubaki kulia tu,anadai eti kama nampenda nitamuachaje peke yake ndani.mbaya zaidi mi napenda sana mpira,basi hata kwenda kuangalia mechi ni tatizo.atakwambia huu ni muda wa kupumzika na kuwa karibu yake,nitaendaje kwenye mpira?mpira uwe mchana au usiku ananibana.kazini unaweza kupokea simu zake 3 ndani ya dk 20.wakati mwingine huwa nakaushia afu baadae namwambia nilikuwa bize.
wanamme wenzangu hebu niambieni,hivi hii ni hali ya kawaida kwenye ndoa au yangu imekuwa too much?
cc:akina dada wote mlioolewa na wale mnaotegemea kuolewa.
Unaweza kushangaa ukifa familia inakuwa na furaha kuliko sasa.
Huyo mkeo kaa nae mueleweshe, halafu uwe unatoka nae kwenda huko kwenye mpira nk, itafikia mahala atachoka mwenyewe. Anadhani kwamba huko unapoenda pengine kuna demu unaweza mpata au unaye. Mwelimishe. Halafu wakati mwingine amua tu kutokane, mpate drinks pampoja halaf mnarudi hm. Vilevile unaweza kutaoka nae pamoja na rafiki zako, na uendeleze hiyo, kuna wakati yeye mwenyewe atakwambia "nimechoka", "sijisikii" nk. Sasa hivi anakustukia, hakuamini sana ingawa anakupenda. Anadhani kuna mademu wanaweza kukupagaisha..... ukamsaliti.
hapana bidada kwani function za kazini ni kwa ajili ya wafanyakazi tu,na unakuta kuna kadi zinatolewa na zikisisitiza kuwa ni kwa ajili ya wafanyakazi tu.ok fine naweza kwenda na waif but nitaonekanaje mbele ya staff wenzangu?ndo nitaanza kupigwa jungu,kwani wao hawana wake?etc etc
tunapendana sana na waifu,tumetoka mbali na tumefanikiwa kupata watoto wawili.lakini waifu ananikaba sana,hataki kabisa niwe natoka,hata function za kazini huwa hataki niende.function za funga mwaka etc za kazini hataki kabisa niende,nikilazimisha utamkuta ananuna huyo hata kwa siku tatu na kubaki kulia tu,anadai eti kama nampenda nitamuachaje peke yake ndani.mbaya zaidi mi napenda sana mpira,basi hata kwenda kuangalia mechi ni tatizo.atakwambia huu ni muda wa kupumzika na kuwa karibu yake,nitaendaje kwenye mpira?mpira uwe mchana au usiku ananibana.kazini unaweza kupokea simu zake 3 ndani ya dk 20.wakati mwingine huwa nakaushia afu baadae namwambia nilikuwa bize.
wanamme wenzangu hebu niambieni,hivi hii ni hali ya kawaida kwenye ndoa au yangu imekuwa too much?
cc:akina dada wote mlioolewa na wale mnaotegemea kuolewa.
Nina uzoefu zaidi ya miaka 20 kwenye ndoa, ndio maana nakushauri hivyo. Miaka ya mwanzo kwenye ndoa ( ndoa za vijana) matatizo ni kama hayo, upendo unakuwa ni mkubwa mno, lakini unaingiliwa na mambo mengine ya kijamii kama hayo (mpira, ndugu, mama/baba mkwe, mashemeji nk) hapa inabidi ufunge mkanda na umshikilie vema mkeo. Akiwa analia mbembeleze, toka nae. Wakati mwingine achana na kwenda kenye mpira, au nenda kwenye mpira sehemu ambayo ina ustaarabu
Kwa hiyo na wewe una mpango wa nje? Duh!
Huko kunaitwa kutikisa kibiriti...
Wake zetu wengine wamekuwa manunda kwa sababu hatukuendekeza huo upuuzi toka mwanzoni. Kama kununa anune... Atanuna siku ya kwanza, ya pili ya tatu... then atazoea. Acha kumuendekeza.
Tatizo lako wewe ni kuwa unapotoka unamuomba ruhusa. Mwanaume huombi ruhusa, unatoa taarifa. "Dear, naenda kucheki mechi, naweza kurudi kwa kuchelewa kidogo. Mkiivisha mapema endeleeni tu kula, usikae na njaa kunisubiri... Badae.." ... Then mlango paa... unasepa.