miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
hapo kwenye bold tabia yako ni mbaya kwa nini unamfanyia mwenzako hivyo kama hutaki akupigie simu kila wakati si umwambie ukweli ukweli utabaki palepale awe anapenda au hapendi.
halafu unalalamika kwani mwanzo mlikuwa mnaishi vp maana hadi kuzaa watotot wawili leo ndio unalalamika kama ni kitu kipya utakuwa umeanza tabia mbaya wewe, na inaonesha humpendi mwenzio kama anavyokupenda.
mambo ya kuachiana nafasi ya kutoka yanazungumzika na kufikiana miafaka na makubaliano.
iron lady,natambua sana hilo but kuna wakati inabidi aniache ni relax kidogo,mnakaa mnapiga stori mpaka zinakwisha,mwishowe mtu utakosa cha kuongea uanze kuropoka siri za kazini.yaani anacheza ile kitu wajaluo wanaita "ng'ato gi ng'ato" yaani man to man....basi atleast hata kwenye mpira nikiwa na washkaji wangu coz sinywi wala sivuti.hata ungekuwa wewe ungefeel "the heat"
Kazini unaenda naye? Anakupigia sana simu unapokuwa kazini?
ndugu yangu ndoa ni kuchukuliana na kukubaliana kuelewana na kuvumiliana, hiyo hali ipo na itafika wakati hata ukimuaga hata kasirika kabisa na utaweza kuzurura kadri unavyotaka.ila kwa sasa mapenzi yake kwako yako katika pick usimsononeshe kwa kumreject feelings zake za kutaka uwe karibu yake. bali mwambie kwa upendo kuwa unahitaji kutoka japo kwa muda fulani na ukiwa huko kidogo kidogo uwe unamcall ajue unamkumbuka kadri siku zinavyoenda atazoea na wewe utaweza kuwa unatoka bila kumsononesha ila SASA ISIWE NDIO TIKETI KWENDA KUFANYA MAMBO YENU YA AJABU AJABU.
halafu unatakiwa kujua kuwa siku zote mkipendana mwingine huwa zaidi ya mwenzake na kwa kipindi fulani kwa sasa yeye yu juu kimapenzi nawe itaenda na wewe utafika muda utaanza kumuona mpya na kumpenda sana zaidi yake. life goes on.
nimeshangaa unaposema eti unamdanganya upo busy kumbe simu zake zinakuchosha that is bad and not love at all. uongo uongo uongo huleta shida katika mapenzi.
wewe umeshampa mambo motomoto mtoto wa watu sasa anrespond unamshangaa INAHUSU
mama anawivu na anakupenda..........kama kwenye function amabazo anaweza kushiriki mpe nafasi na yeye awepo ila kuhusu mpira hapo sijui uwe unaenda nae au uwe unaangalia nyumbani,, ..............or kabla ya kutoka mdoche ndio uende ili ajiridhishe utaweza docha nje tena
thanx mkuu,natambua sana kuhusu hilo,nimeshaongea nae sana,what am looking for is the best way on how to handle this.have tried all ways possible known to me but have registered failures
Japo umetaka wanaume wakupe ushauri naomba kwa heshima ya pekee mimi Mdada nichangie wazo langu nikieleza kinagaubaga kwanini unakabwa na Dadangu.
Bila shaka unatumia TV nyumbani kwako kwa kuangalia taarifa mbali mbali, leo hii bila kuwa na "Ving'amuzi au wengine wanaviita Visimbuzi" huwezi kuona picha nzuri iliyotulia. Kuna ving'amuzi vingi kama vile "Startime, "DigTek", "Continental" Nasikia pia "Azam" nk. Ukiona kati ya hivi kimoja kinapendwa sana ujue picha zake ni "Classic"
Kwa hiyo Kaka kozo okamoto ni hicho KING"AMUZI CHAKO KINAMCHANGANYA DADA YAANI "MAMA KOZO OKAMOTO"
Jambo la pili linalomfanya akukabe sana ni hizi "LUKU" za mitaani nyingi zina "SHORT" sana hataki ukanunue "LUKU FAKE" wakati unayo ORIGINAL.
tunapendana sana na waifu,tumetoka mbali na tumefanikiwa kupata watoto wawili.lakini waifu ananikaba sana,hataki kabisa niwe natoka,hata function za kazini huwa hataki niende.function za funga mwaka etc za kazini hataki kabisa niende,nikilazimisha utamkuta ananuna huyo hata kwa siku tatu na kubaki kulia tu,anadai eti kama nampenda nitamuachaje peke yake ndani.mbaya zaidi mi napenda sana mpira,basi hata kwenda kuangalia mechi ni tatizo.atakwambia huu ni muda wa kupumzika na kuwa karibu yake,nitaendaje kwenye mpira?mpira uwe mchana au usiku ananibana.kazini unaweza kupokea simu zake 3 ndani ya dk 20.wakati mwingine huwa nakaushia afu baadae namwambia nilikuwa bize.
wanamme wenzangu hebu niambieni,hivi hii ni hali ya kawaida kwenye ndoa au yangu imekuwa too much?
cc:akina dada wote mlioolewa na wale mnaotegemea kuolewa.
anataka akuweke chini yake ili akutawale na akishakuwekea vitu ujue umekwisha kama vip mpe makavu!
mshirikishe mambo yako.kama party ya kazini nenda nae.kama kuna function mahali flani nendeni wote.kama kuna mpira mwambie mwende wote.anakaba coz baadhi ya mambo unataka kuyafanya kama uko singo ndo maana.
hilo linaitwa gubu sugu
Inawezekana mwanzo wakati mnaoana ulionyesha mapenzi ya namna hiyo bila shuruti sasa unapojaribu kutoka kwenye mazoea lazima umpe shida mkeo. Wanawake walio wengi wanatamani sana kuwamiliki waume zao hata kufikia kuzito watoto wao, jambo la muhimu ni wewe kudai haki ya moyo wako kama swala la mpira na marafiki. Bila kuficha au kupepesa macho mwanamme kuwa na marafiki wenye hekima ni jambo lisilopingika kwani kuna mengi utakosa ushauri kwa kujitenga nao. Kuna kabila fulani la TZ wengi wa wanawake wao wamefundishwa namna ya kumzibiti mwanamme na njia mojawapo ni kumtenga na ulimwengu wa marafiki na usishangae uko na rafiki zako yeye anaanzisha ugomvi na kuwatukana matusi yote duniani lengo ni mbaki wawili akumiliki. Kuwa makini uwe na maamuzi mazito na usikubali aingilie maisha yako ya ndani kwani japo mmmeona ila kila mmoja ana maisha yake ya ndani ilimradi hayavunji mkataba wenu wa ndoa.iron lady,natambua sana hilo but kuna wakati inabidi aniache ni relax kidogo,mnakaa mnapiga stori mpaka zinakwisha,mwishowe mtu utakosa cha kuongea uanze kuropoka siri za kazini.yaani anacheza ile kitu wajaluo wanaita "ng'ato gi ng'ato" yaani man to man....basi atleast hata kwenye mpira nikiwa na washkaji wangu coz sinywi wala sivuti.hata ungekuwa wewe ungefeel "the heat"