Kozo Okamoto
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 3,391
- 1,546
Mkuu huyo mkeo ulimpataje na kabla hamjafunga ndoa ulimueleza maisha yako yalivyo?najua mnapendana ila unahisi nani anampenda zaidi mwaenzake!
tunapendana sana na waifu,tumetoka mbali na tumefanikiwa kupata watoto wawili.lakini waifu ananikaba sana,hataki kabisa niwe natoka,hata function za kazini huwa hataki niende.function za funga mwaka etc za kazini hataki kabisa niende,nikilazimisha utamkuta ananuna huyo hata kwa siku tatu na kubaki kulia tu,anadai eti kama nampenda nitamuachaje peke yake ndani.mbaya zaidi mi napenda sana mpira,basi hata kwenda kuangalia mechi ni tatizo.atakwambia huu ni muda wa kupumzika na kuwa karibu yake,nitaendaje kwenye mpira?mpira uwe mchana au usiku ananibana.kazini unaweza kupokea simu zake 3 ndani ya dk 20.wakati mwingine huwa nakaushia afu baadae namwambia nilikuwa bize.
wanamme wenzangu hebu niambieni,hivi hii ni hali ya kawaida kwenye ndoa au yangu imekuwa too much?
cc:akina dada wote mlioolewa na wale mnaotegemea kuolewa.

anayajua maisha yangu,nilikuwa niko free sana wakati wa uchumba takribani miaka sita,coz nilisubiri amalize chuo,then akapata ajira.miaka 2 baadae ndo tukafunga ndoa.but baada ya hapo ndo akaanza kunikaba.baada ya kupata ujauzito wake wa kwanza tu akaanza kunikaba
anajua kuwa hujatulia, mwache afanye kazi yake ... ndio dawa ya vidume kama wewe! abiria chunga mzigo wako! na badooooooooo!
Kama kweli wewe uko safi kitabia basi ni suala la kukaa nae chini na kumueleza vitu vya msingi tu,katika maisha kuna moments ambazo lazima utamuacha mkeo/mumeo kwa mda hivyo ni vitu ambavyo haviepukiki so ni suala la kukaa na kuongea nae tu kwa utaratibu wala usipaniki naamini atakuelewa tu she just loves you so much so anakua worry ila hii nikama muenendo wako ni mzuri!
tunapendana sana na waifu,tumetoka mbali na tumefanikiwa kupata watoto wawili.lakini waifu ananikaba sana,hataki kabisa niwe natoka,hata function za kazini huwa hataki niende.function za funga mwaka etc za kazini hataki kabisa niende,nikilazimisha utamkuta ananuna huyo hata kwa siku tatu na kubaki kulia tu,anadai eti kama nampenda nitamuachaje peke yake ndani.mbaya zaidi mi napenda sana mpira,basi hata kwenda kuangalia mechi ni tatizo.atakwambia huu ni muda wa kupumzika na kuwa karibu yake,nitaendaje kwenye mpira?mpira uwe mchana au usiku ananibana.kazini unaweza kupokea simu zake 3 ndani ya dk 20.wakati mwingine huwa nakaushia afu baadae namwambia nilikuwa bize.
wanamme wenzangu hebu niambieni,hivi hii ni hali ya kawaida kwenye ndoa au yangu imekuwa too much?
cc:akina dada wote mlioolewa na wale mnaotegemea kuolewa.
wanaume mkipendwa sana mna shida. dawa yenu ni nyinyi kuwapenda wadada ambao hawana time na nyinyi ukimpigia simu anakwambia eheee nitafute usiku saa hizi niko busy anakukatia na simu. ukimletea zawadi unaambiwa loh hiki kizawadi gani cha kuniletea mimi chukua zawadi yako.
lakini yule anayekutafuta wewe kwa mapenzi au wivu wake kwako inakuwa kero. mapenzi bwana kazi kwelikweli.
mkuu mambo ya ndoa si vyema sana kuyaleta hapa kwani kila mtu ana mtazamo wake na ushauri wake na si kila ushauri wa kuuchukua. haya tukikwambia muache utamwacha?
kaeni chini myazungumze wenyewe.
mkuu nishapiga stori na waifu sana,anakuelewa lakini ukitaka kuondoka anbadilika,sometimez anakuwa mnyonge hadi unamuonea huruma inabidi tu uhairishe safari zako.kuna wakati unalazimisha kwenda ndo hivyo tena.